Huyu naye kafuata nini huku?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
maswali mengine unahitaji PANADOL kwanza DSC_3231.JPG
 
Huyu anafikiri maandamano ya chadema ndo maana.Angejua waliokuwa wanakuja hapo bora angeacha kazi mwenyewe
 
Hapo si Lumumba, mziki ukiwa mzito atakimbilia jirani hapo kwa mwenezi
 
hyo ni kazi ya jeshi la polisi na huyo binti yupo timamu kabisa kwakuwa amefanya mafunzo na anaelewa jinsi kudhibit fujo akiwa kama WP
 
Kumbe hata ma pretty wapo kwenye vikosi vya ulinzi.,ah mi love it
 
Back
Top Bottom