Huyu naeeeh...mmmh.

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Jamaa alitakiwa kuwah kazini saa kumi alfajiri, sasa muda ulipofika akaamka lakn bahati mbaya umeme ulikuwa umekatika na alikuwa anataka aangalie mafuta kwenye tank la pikipiki yake, alichofanya mshkaji, akachukua kiberiti, akawasha akakisogeza mpaka kwenye mdomo wa tank la mafuta duuuuh kilichomtokea ni siri yake....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom