Huyu mzee ni soooo!,

Haaaaaaaaaaaaah nimeipenda kweli ila kusema mzee ni golila unity tunakufuru uumbaji wa mwenyezi yeye ni handsome kwa wengine
 
Mh..... Jamani mbona mazingira hayaendani na tukio? kwani hapa kuna tofauti gani na kwenye vichaka, kitu cha kushangaza ni kwamba ni watu wenye nyazifa zao kubwa tu serikalini, tena mama ni msomi level ya uprofesa, kweli wameshindwa kwenda hata kempisk wakajiburudishe kwa heshima hata kama ni kukumbatiana tu? KAZI KWELIKWELI.
 
Kuna siku nilimwona huyu Mzee akinywa kikombe kwa babu............sasa ameaanza tena nyie mwacheni tu
 
Back
Top Bottom