Huyu Mzazi Vipi Jamani

Huyu Ndallo kama anamtoto, basi mtoto atakuwa hatarini...kwa mawazo haya!
 
We Ndallo vp? Huyo ni mtoto wa kidhungu amevishwa Pampas na ........ Au ulipeleka mawazo kw watoto wa kiafrika wasiovishwa kufuli?
 
Kwanza ni mtoto...halafu kavaa chupi na pampasi....sioni tatizo...naona mzazi anampiga picha sura ya mtoto ikiwa chini ya miguu basi
 
Duh!!!!kuna watu wana mawazo mgando.si dingi anacheza na binti yake jamani?
 
DSC_0373.JPG

watoto wote wa age hiyo wa kike na wa kiume ufanya hivyo, pia wewe angalia chupi ya huyo mtoto ni ya heshima kuliko na ndio maana amevishwa hiyo wakijua atafanya hivyo! Hiyo ni kumbukumbu tu! Inaonekana hauna mtoto au watoto au kama unao basi haujawalea kwa karibu!!
 
Watoto wana michezo ya ajabu ajabu ambayo mtu mziwa huiwezi, hivyo mzazi kaona awe anachukua kwa ajili ya kumbukumbu akikua atamuonyesha vituko vyake! Inapendeza na ni kawaida tu! Sema Ndallo ana mawazo machafu machafu!
 
I like the picture its a good memory, haswa pale when the little girl grows and sees both aliopigwa baba na ile ambayo baba kapiga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom