Huyu mwanaume nimfanyaje.

Me nadhan anafikiri mambo yangu mazuri coz cku tumefahamiana nlipata ajali na gari nliyoazimwa na b,frind wangu ntumie kwa cku moja labda ndivyo anavyoniona..

kheee kumbe una jemba yako halafu unaumia fanya hii kitu nenda nae kwa bf wako iliumchoshe vingine utakuja hapa jamvini kuomba ushauri kila siku..
 
Siyo ishu ya uchaga hapa dia..ila jaman we mtu daily unamsaidia tuu ye hana msaada kwako wwt kwako utajifik vipi

aisee nimependa reply yako kiukweri..unaonekana ni mtu kind kupitiliza na mwoga kumpa mtu live,hii mda mwingine ni tatizo..huwezi kumfuraisha mtu kila wakati,anza kujipenda wewe.
 
Habar zenu wana jf..
Kuna kitu kinantatiza kuna jamaa mmja, ambae ni rafiki yangu tu wa kawaida..sasa amekuwa na tabia ambazo sizipendi naona hata nivunje urafiki wetu..yy anafanya kaz bank ya mikopo af ni hb mbayaa aliwahi ntokea nkamkataa kutokana na jinsi alivyo nahis atakuwa anashobokewa cna na mabint.

amekuwa na tabia ya kunieleza cna .matatizo hasa ya kipesa na nimekuwa nkimsaidia kma nina weza.nimefahamiana nae ni kama miezi 6 tuu imepita nlishamsaidia mara 2juzi aliniomba nimsaidie alikwama nkamwambia sipo vuzuri realy alinidistabu sana sikupenda.
Siku zikakatuka jana tena kanipigia ooh nina shida na wee ntakuonaje nkamwambia nkiwa free ntakutafuta..
Wadau huyu mtu mnafikiri nimfanyaje kwa hii tabia yake ya kunieleza matatizo yake inhali me ni rafiki yake tu.

Weweeeee!!?
Sio ndie ulie post thread juz kuwa kila mwanaume unaye anaye kupenda hudumu naye una msaliti hata kama anakupenda vp! Na ukasema hujui kwa nn!!
Sasa leo unataka nn tena kwa mshikaji!!!??
 
Muekye kyaa mashika shida tiifo kila andu na kuiyo nndu asauwa iwa na shida foo mankaa,thats what friends are for to help each other unless its not a genuine need.
 
Dada ukijisikia kumsaidia msaidie tu ,kufanyia Benki siotatizo,nyia akina dada tunawahonga sana mbona sisi hatusemi,nenda nchi jirani ya kenya msichana anavyo mpa offer boy friend wake,nyie wanawake wa kibongo nuksi kwelikweli mnataka kuchuna tu,lazima dada uwe mstaarabu, unatia aibu
 
Dada ukijisikia kumsaidia msaidie tu ,kufanyia Benki siotatizo,nyia akina dada tunawahonga sana mbona sisi hatusemi,nenda nchi jirani ya kenya msichana anavyo mpa offer boy friend wake,nyie wanawake wa kibongo nuksi kwelikweli mnataka kuchuna tu,lazima dada uwe mstaarabu, unatia aibu[/QUOTE

Aibu?anaetia aibu ni mimi au anaeomba omba hovyo..]
Uanaume haupo hiv bana
 
huyo amekugeuza kitega uchumi afu kaka zetu siku hizi wanapenda sana kutumia pesa za madada kutimizia shida zao amka toka ucngizini
 
Back
Top Bottom