Huyu Mwanamke hivi nimfanyeje jamani?

Sikiliza kaka, kwa mujibu wa maelezo yako ni kwamb unampenda na una future naye,
sasa kinachokufanya ukasirike akishika simu yako ni nini? au una wanawake wengine kwa hiyoo unaogopa atajua na wewe hujui bado unataka nini kwake,
inaonyesha kuna mambo ya siri unafanya na akijua yatamuumiza ndo maana unakataa asishike simu yako, eti uweke password ya nini, huo ni ubinafsi kutotaka kumshirikisha mwenzako mambo yako.
Sasa kama humwamini kwa kushika tu simu mkioana itakuwaje,
au wewe ndo ile design ya wanaume changu changu, vitu vyangu umimi.
acha hizo kama unampenda mshirikishe kwenye mambo yako yote hata kama ni mabaya ajue jinsi ya kukushauri na kukusaidia ilki uyaache.
 
Sio kila kitu lazima mwanamke akione vingine ni siri ya jeshi.
 
sio wanawake tu hata mwanaume pia hatakiwi kujua kila kitu.

Hapo swity umenena sitegemei kuona mwanaume anapekua mkoba wa mama kama wengine hapo juu wanasema kila kitu hakuna kuficha muwe huru sijui kama wewe utapendezewa kila unaporudi mme wako anaupekua mkoba aka kipima joto chako.
 
simu zote kunakuwa na code ukiweka hiyo mtu hana uwezo wa kuifunguwa simu yako na kuona vilivyomo ndani sasa nashangaa kwa nini usichukuwe hatuwa kama hiyo ,hapo ndio atajuwa (ataelewa) kuwa hutaki achokonowe simu yako, kwani kugombana na mtu ni kutaka ukifanya hivyo itakuwa unamwambia (mueleza)indirect mtu kama huyo mara nyingi anakuwa na makubwa zaidi moyoni mwake yanayomsumbuwa zidi yako zaidi ya hilo la kuchokonowa simu .

Akiweka hiyo code, ndo itakuwa kasheshe zaidi, anaweza kuipiga hata chini, Kama huyu jamaa ni mwaminifu basi ampige chini.
 
hahhahahha umenichekesha hiyo demu wa kingwendu mapepe mapepeeeeeeee sijauona siku nyingi kwenye TV. ila shost wanaume wenyewe ndo hawahawa akina fide na Yo Yo utaacha kuangalia hiyo simu mammy? akuu babu lazima niinspect ,sema huyo mwanamke mwenzetu hajui wakati gani wa kuinspect. mie mume wangu ukimwambia kama napekuaga simu yake atakukatalia futi mia moja kumbe ukweli napekua lakini hajui, na wala siulizi maswali mtu huwa najiuliza mwenyewe na natafuta majibu mwenyewe na nayapata mwenyewe na natosheka mwenyewe.nasubirigi amelala fo fo fo mie taratiiiiiiibu najigeuza mpelelezi mashuhuri Willy Gamba... ahhahahhahah(jokes)

asante kwa personal experience!!! inawezekana huwa halali fofo ila kwa kuwa anajijua kuwa yeye sio mkware ndio maana anakuachaga utape tape wewe, ukipata presha ni juu yako wewe
 
Kaka, huyu dada kuna sababu inayopelekea apekue simu, inaonyesha mapungufu kwenye relationship na sio lazima iwe ni kutojiamini kwake. Kama huna mpango wa 'happy ever after' muache aende zake. Mambo ya utapeli utapeli kwa hawa wenzetu unaweza poteza maisha au makaratasi kukutokea puani.

Mndee
 
May be haumrizishi anahisi unatoka nje sana, kaka ongeza bidii na ufundi kitandani, utaachika? Ohoooooooo!
 
Na kama nivipivipi au niajeniaje,hebu jibu haya maswali. Je yukoje? Ni mneneee? Au mwembamba?ni mweusi au mweupe? Ni mfupi au mrefuuu?nijibu kaka ili niweze kukupa siri ya mafanikio. Kwa kuwa kila nilichouliza hapo juu kina hitaji technical advice ili kuweza kukitatua!
 
sioni ajabu hapo,kama mnaweza kuwekana wazi(kijamii zaidi) kwa nini mfichane kwenye simu zenu kama uko perfect hakuna cha kuficha otherwise hujakamilika mshkaji!
 
asante kwa personal experience!!! inawezekana huwa halali fofo ila kwa kuwa anajijua kuwa yeye sio mkware ndio maana anakuachaga utape tape wewe, ukipata presha ni juu yako wewe
hahahhaha ni kweli ndo maana nimemwambia AB-Tichaz kama hana cha kuficha amwachie tuuu atakuja kuacha mwenyewe akiona anaambulia patupu, mie mwenyewe nimeacha huwezi amini but its true na siku moja nikifanya shambulizi la ghafla inakuwa holaaaaaaa......
basi nimerusidha mzuka chini maisha yanaendelea na mieee naamuamini kabisa hata kama anayafanya huko nje mie sijapata sababu ya kumdoubt so inaniweka in a peacefull mind
 
Hivi watu watajifunza lini, kuangalia simu ya mpenzi wako hakutomzuia kwenda nje kama akitaka. Watu wengi tu nawajua ambao wamesave majina ya wanawake chini ya majina ya kiume and vice versa.

Nitakachokushauri mtani, wewe mweleze tu ukweli kuwa una marafiki wa kike ambao uwa mnatumiana texts au kupigiana simu mara kwa mara.
 
Hivi watu watajifunza lini, kuangalia simu ya mpenzi wako hakutomzuia kwenda nje kama akitaka.

...inasaidia kupunguza mashambulizi kamanda, hujasikia mtu anajigamba, "wewe tuma sms wakati wowote huyu 'nguchiro' hakamati simu yangu!"

Watu wengi tu nawajua ambao wamesave majina ya wanawake chini ya majina ya kiume and vice versa.

...ndipo hapo siku ya siku unakuta sms toka kwa 'Joyce-Msusi' ikimsifia mkeo kwa usiku wa jana, wakati mkeo alimuacha kalala msibani!
 
si kicheche bali ninampango naye..a future plan nd'o maana
hii tabia yake inaniuzi kweli despite kumwambia I dont like it.

Mkuu,
Hapo nadhani kinachosumbua ni cultural gape kati yako naye. Wewe una mambo ya kikwetukwetu, mpaka sasa unahesabu chako ni chako; yeye ana mambo ya kikwao kwao, anahesabu chako ni chenu. Kwa kuwa una mpango naye anadhani utajua kuwa mmeshanza kuchukua hatua za kuelekea kwenye kuaminiana ambazo kwao hufanyika tofauti na kwetu. Isome culture uielewe mzee. Kwao hilo ni jambo la kawaida, ingawa kwetu siyo kawaida.
Nini Ufanye: Ukinyamaza itakuwa ndo kwaida. Ukisema kuaminiwa kutapungua. Chagua kubalance yote mawili kama una LTR (Long Term relationship) plan.
 
Wakuu wa maswala,

kuna mwanamama nimeanza ufrendi naye lakini anakatabia ka kuingia
kwenye simu yangu na kucheki nani kanipigia simu au nani kanitumia
msg.

nammaindi kinoma lakini hii tabia mimi sasa naona too much maana
nimemkataza lakini bado hasikii. Leo asubuhi kaja na maswali ya
kipuzi hata simuelewi.

hebu nipeni wasia maana mwenzenu naona niachie ngazi mbele kwa
mbele.

P.S. Ni mmarekani

Mwenzenu.

Mkuu achana na simu uwe kama Osama. Problem solved!
 
Na kama nivipivipi au niajeniaje,hebu jibu haya maswali. Je yukoje? Ni mneneee? Au mwembamba?ni mweusi au mweupe? Ni mfupi au mrefuuu?nijibu kaka ili niweze kukupa siri ya mafanikio. Kwa kuwa kila nilichouliza hapo juu kina hitaji technical advice ili kuweza kukitatua!

hivi wewe umeelewa swali kweli?
maswala ya simu yanausianaje na maswala ya wasifu wa mtu, ukishajua alivyo ufanyeje?
 
Wana jf mimi nina rafiki yangu ambaye anarafiki yake ambaye anasoma mbali na eneo analoishi na walikubaliana kuoana lakini kikajitokeza suala kwamba kuna mdada mwingine akatumia jina huyo rafiki yake na kutoa matusi iliaharibu uhusiano wao, hebu tusaidieni kwa ushauri endapo mdada huyu atapatikana tumfanyaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom