Wewe una undugu naye nini? kwangu mimi naona huo ni upuuzi tu, umetolea mfano Jacob Zuma, siyo kweli kila safari zake anaonekana kuambatana na hao wake zake bana, mimi sina tatizo kwamba ana wake wangapi, ila nataka kufahamu kunaulazima gani unapokuwa katika safari za kikazi kila mara kuongozana na mkewe? huo ni mzigo usio wa lazima kwa Serikali. View attachment 46276
Si mnaona wenyewe hapo? hiyo ilikuwa safari ya siku kadhaa mkoani Tanga na kabla ya hapo alikuwa Lindi pia na hizo "MBAVU ZAKE"
sio kwamba watu wanaona wivu banaa ...tatizo wanatafuna pesa za walipa kodi bila sababu ...trip ni nini bana hovyooo.Ndio na undugu nae basi usiwe na wasiwasi kuna safari ya Marekani mwezi ujao tamwambia akuchukuwe wewe mwende wote sawa...naona unaona wivu sana.
Ulitaka akuchukue wewe, utamsaidia shughuli za usiku??
Acha kufikiri matope
sio kwamba watu wanaona wivu banaa ...tatizo wanatafuna pesa za walipa kodi bila sababu ...trip ni nini bana hovyooo.
​Nimefuatilia sana safari za huyu Muhishimiwa Makamu wa kwanza wa Rais Dr. Mohammed Gharib Bilal anapokuwa kwenye safari za kikazi hapa nchini ama nchi za nje kila wakati lazima aambatane na eitha mke ama wake zake wote, ninajua wazi lazima gharama zote zitakuwa zinagharimiwa na kodi za wananchi, je hii ni sahihi? kuna ulazima gani kuambatana na wake zake kila mahala anapokuwa kazini? mbona hata viongozi wa mataifa tajiri huwa hawafanyi hivi, hii kitu huwa inanikera sana, mara nyingi kila ukiona picha za huyo muhishimiwa lazima utaona na picha za mke ama wake zake wote pia, narudia kuuliza, HII NI SAHIHI WAUNGWANA?
hii siyo issue ya wivu, jaribu kuelewa uchumi ni nini kwanza...anzia na mfano mdogo...mapato na matumizi baada ya hapo utaona ni jinsi gani kodi yako inavyotumika vibaya kwa mambo kama haya ambayo hayana maana. Serikali inapata wapi hela? wewe na mimi ni walipa kodi na bila kodi hakuna nchi yoyote duniani inaweza kuendesha mambo yake. Kodi inayopatikana inaenda kwenye matumizi ya serikali ikiwamo elimu, barabara n.k. kama leo government spending inaenda kwenye matumizi mabaya kama ya Bilal, safari za raisi 200+, posho kubwa n.k. unafikiri hali ya maisha itakuwaje? watashindwa kulipa madaktari, walimu na mwishowe uchumi utaanguka na ukichukulia hatuna exports za kutosha na kuendekeza madeni ya nje tumeisha.
​nimefuatilia sana safari za huyu muhishimiwa makamu wa kwanza wa rais dr. Mohammed gharib bilal anapokuwa kwenye safari za kikazi hapa nchini ama nchi za nje kila wakati lazima aambatane na eitha mke ama wake zake wote, ninajua wazi lazima gharama zote zitakuwa zinagharimiwa na kodi za wananchi, je hii ni sahihi? Kuna ulazima gani kuambatana na wake zake kila mahala anapokuwa kazini? Mbona hata viongozi wa mataifa tajiri huwa hawafanyi hivi, hii kitu huwa inanikera sana, mara nyingi kila ukiona picha za huyo muhishimiwa lazima utaona na picha za mke ama wake zake wote pia, narudia kuuliza, hii ni sahihi waungwana?
.... Kama ulisoma accounting kidogo utakua unajua materiality principle... Tutolee macho mambo ya msingi,yenye real cost kwa nchi... Mikataba mibovu, ufisadi na kadhalika... Hayo mambo ya mtu na wakezake sio chanzo cha umasikini wetu..... Unaruhusiwa kukosoa....
Ulitaka akuchukue wewe, utamsaidia shughuli za usiku??
Acha kufikiri matope
Mkuu huko ni mbali sana, kwanza tulitakiwa tuanze kumanage hiki kidogo tulichonacho, tukifaulu tutafute zaidi,
Kwenye maisha ukishindwa kujua income na expenditure yako utakuwa ni uwazimu mtupu.
Mpaka sasa viongozi wetu wanamatumizi yaliyopitiliza tunachokikusanya.
Hata tuboreshe vipi hii mikataba ya madini na takataka nyingine hatutabadilisha matumizi yetu serikalini itakuwa nai sawa na kujaza maji kwenye gunia sijui litajaa lini.
chukulia mf wa posho ilianza wabunge tu sasa madactari then nani tena atadai zaidi.......
TAFAKARI..... JUA HAKUNA UPUUZI MTUPU.....CHUKUA HATUA
Ni hayo tu
Hebu tuambie wewe na watumishi wengine serikalini mkisafiri kikazi huwa mnaambatana na wake zenu? Kama jibu ni ndio, je gharama za wake zenu hugharamiwa na nani? Na kama hamambatani nao shughuli za usiku nani huwasaidia? Sasa waweza kujua nani anafikiri MATOPE.