Jamani wadau asalam maleko wakubwa,nina mchumba wa kiaya me mchaga,tatizo lake ni wivu uliopindukia kosa asione jina la kike kwenye phne book yangu tatzo,nsipigiwe cm ata na dada pamoja na kwamb wanafaamiana,akipig nsipopokea ugomvi,kila akishika cm faster ni kwenye msg,akizikuta ni shda asipozikuta ni shda,wadau ntayamudu kwel aya!!ila mambo anayaweza tena sana ci unajua tena izo pande za bk,wadau ushauri plse