Huyu mtoto noma

kamtu33

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
999
405
kuna watoto w2 walikuwa wakicheza pamoja akapita mpita njia mtumishi wa Mungu akamkuta mtoto m1 akilia mtumishi akamuuliza unalilia nini mtoto? akijibu "yeboyebo zangu zimepotea" jamaa akambembeleza na kumwambia amwachie Mungu, dogo akaendelea kulia na kusema "zile ni ndogo Mungu hazimtoshi"
 
Back
Top Bottom