Huyu mtoto kweli Maluuni

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
Dogo dogo mmoja wa darasa la kwanza alipanda daladala huku akiimba kwa sauti kubwa vitu alivyofundishwa school “baba akiwa jogoo mama akiwa kuku mimi ntakua kifaranga,… baba akiwa beberu mama akiwa mbuzi mimi nitakua ndama’’ dogo aliimba kwa muda mrefu mpaka kondakta akakasirika, akamwambia ‘’Ah weee! hebu nyamaza.. jee kama baba angekua ****** na mama malaya weee ungekua nani?” dogo dogo akamjibu “ningekua kondakta wa daladala”
 
safi sana......imekaa vema
Dogo dogo mmoja wa darasa la kwanza alipanda daladala huku akiimba kwa sauti kubwa vitu alivyofundishwa school "baba akiwa jogoo mama akiwa kuku mimi ntakua kifaranga,… baba akiwa beberu mama akiwa mbuzi mimi nitakua ndama'' dogo aliimba kwa muda mrefu mpaka kondakta akakasirika, akamwambia ''Ah weee! hebu nyamaza.. jee kama baba angekua ****** na mama malaya weee ungekua nani?" dogo dogo akamjibu "ningekua kondakta wa daladala"
 
Nilifikiri maluuni ni neno lililo tokana na neno Laana.

Mtoto maluuni, yaani mtoto aliye laaniwa.

Outcast.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom