Huyu mtoto bwana, astafulahii kaubwa. Kishuzi tu, mimi hoi bini taabani

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Hiki kitu nimekikubali. Ongera pia kwa anachokitunza. Mimi hoi kabisa

Katiba mpya naomba sheria za ndoa za mikataba iwepo ili tuwe na uwezo wa kuachiana majukumu.




33.jpg
 
acha tamaa za mbuzi, utashangaa viishuzi mpaka lini? kila siku vinazaliwa, yang'ongoe machom yako, ili usipate tamaa tena
 
Muacheni kwamtoro wa watu ashangae banaa!huoni hata bwana harusi bado hajamaliza kushangaa uumbaji huo?mijimacho kodooo!
 
attachment.php


Ama kweli aliesema "beauty is in the eye of the beholder" hajakosea. Sijui nini ulichokiona hapo kikakukuna, Nywele za maiti. Nido ime-babataa, kishuzi mabujebuje wala si cha maana, meno ndio hivyo tena, yana ukungu. Ajabu!
 
attachment.php


Ama kweli aliesema "beauty is in the eye of the beholder" hajakosea. Sijui nini ulichokiona hapo kikakukuna, Nywele za maiti. Nido ime-babataa, kishuzi mabujebuje wala si cha maana, meno ndio hivyo tena, yana ukungu. Ajabu![/QUOTE]

Kheee! Kaka ushidwe na ulegee. Acha wivu, mwenzako kesha wai hivyoo! Kama ulifukuzia 7 years na kutoswa. Is up to you. Umenisomaa!
 
Kwamtoro I dedicate to u da song tamaa mbaya from ma men 20 Pacceee paccee nttttt!!!!!!!!. Do you hear me Man.
 
Sasa hapo kuna ushuzi gani hapo,mbona hakuna kitu hapo.kweli kuna watu kama nzi,yaani wanapenda vidonda....!!!!
 
BESTA umependeza sana all the best kwa maisha ya ndoa.....
unayesema huyu ni shamim umekosea ni mtu tofauti
 
Mnavyomjadili huyu mdada wa watu, inawahusu? Kwani kawaombeni mseme yeye ni mzuri au la?

Ina maana nyie mko perfect? Wapondaji wakuu utakuta MHHHHH....simalizii
 
mhh shamim gani huyo jamani??? we nawe ndo wataka kujifanya wamjua sana shamim
Ni Astaghfurulla,halafu huyo ni Shamim a.k.a Zeze ni mke wa mtu na kajifungua hivi karibuni na hapo hujayaona macho yake vizuri ungezimia kabisaa,kama anavosema 20 % Tamaa mbaya.
 
Back
Top Bottom