Huyu mtangazaji yuko wapi? Alikuwaga RTD kabla ya kuwa TBC

Mnwele!

Ninusuru na namna ya kumpata huyu msemaji wa Simba FC Ezekieli Kamwaga hata kwa contact tu!
 
Huyu jamaa alikuwa akitangaza mpira huwezi kaa chini kuusikilza lazima usimame anavyokuweka roho juu juu.....
 
Jamaa mweupe hivi. Kuna wakati tulisoma gazetini amekamatwa kwa tuhuma za rushwa. Sijui kesi ilikoyeyukia. Nami namkubali kwa Utangazaji wake wa Mpira japo Staili yake ya kupeana Presha tu. Maana utashangaa anavyotangaza mpira kwa kasi sana kuanzia mwanzo hadi mwisho.
 
paschal mayala yupo humu atajibu alipo ezechiel
atafutwe pia uncle j JULIUS NYAISANGA sijui nae kapotea wapi kwann asirudi TBC manake sauti yake mwananana kumsikiza
 
RTD ya kina ezekiel malongo, halima mchuka n.k ndo ilikua bomba, hii TBC ya leo uhalo kabisaaaa tena ushuzi mtupu!
 
paschal mayala yupo humu atajibu alipo ezechiel
atafutwe pia uncle j julius nyaisanga sijui nae kapotea wapi kwann asirudi tbc manake sauti yake mwananana kumsikiza
mkuu, nyaisanga ameshatangulia mbele za haki (rip jn)
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom