Huyu mtangazaji yuko wapi? Alikuwaga RTD kabla ya kuwa TBC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Ndg WanaJF! Bila shaka 2pamoja ktk namna 2livyo ktk hali ya kukumbushana na hata kuelimishana na hata kurekebishana na 2naenenda vema kbs, Nikumbushe huyu mtangazaji machachari sana kwa upande wa mchezo hasa mpira wa mguu pale anapotangaza na madoido kibao na siyo mwingine ni Ezekiel Malongo.

Je? Yuko wapi? Kwa wanaomjua.
 
last time to hear him.......afrika baridi.....afrika baridi that was Senegal Vs Swedish world cup semi final extra time if i'm have not mistaken..!this journalist he was very fun to hear ever in TZ and not only madoido but also the way he was equiped in soccer profession and its presentation.

I miss him.
 
WanaJf! Hakuna hata mwenye ndg hata jamaa wa TBC amwulize na akatupa jibu sahihi alipo huyu Brother? Ama ameshatangulia mbele ya haki nini? Maana ckawaida yake miaka ile kuwa kimya kiasi hiki,kwa aliye na mhutasari wake jama A2JUZE.
 
Mara ya mwisho kumsikia ilikuwa ni star tv, watangazaji wa sahara media huwa wanapita pita humu hasa Paul na Yahya wanaweza kuwa wanajua baada hapo alienda wapi.
 
Ezekiel Malongo yupo Dar anadunda tu. Lakini ameacha kazi ya utangazaji baada ya kuzinguana na Star TV.
 
WanaJF! Mwenye kumjua alipo anijuze kwn nina mpango naye kwani radio ye2 ya Mkoa haina mtangazaji wa kipindi cha mchezo na 2ngependa 2mpate kbl ya leage kuu ya bara kuanza. RADIO FIVE ARUSHA,Mwenye kumjua alipo anijuze bila kuchoka.
 
chaArusha, if he is in the street ,i'm disappointed cause we need him in that profession.
by the way thanks even to hear about him.i get hope seeing him back on the track.
 
Mara ya mwishomie nilisikia anakesi mahakamani kwa kuingia katika jengo la TCRA bila ya ruhusa.......sijuikafungwa maana sijafuatilia kesi iliishaje!
 
WanaJF! Mwenye kumjua alipo anijuze kwn nina mpango naye kwani radio ye2 ya Mkoa haina mtangazaji wa kipindi cha mchezo na 2ngependa 2mpate kbl ya leage kuu ya bara kuanza. RADIO FIVE ARUSHA,Mwenye kumjua alipo anijuze bila kuchoka.

Mtafute MacNgaiza wa Kasibante FM-Kagera, atakupa full story kuhusu Ezekiel Malongo: ila for sure Ezekiel Malongo yupo Bongo anakula pensheni taratiiibu
 
Msisahau kwa yeyote MwanaJF mwenye tetesi yake popote alipo anirushie.
 
Hello Jf!

Hakuna aliyepataga tetesi ya alipo huyu Brother?
Namkumbuka sana kwa umahiri wake wa kutangaza mpira wa mguu na kuweka mbwembwe nyingi hata kama haukuwa na hamu ya kusikiliza lakini ukimkuta akitangaza hakika utasikiliza tu!
 
Mara ya mwisho kupata taarifa zake ilikua kwenye 2006/07 nilisikia yupo kwao Manyara na amejiingiza kwenye masuala ya siasa...
Kweli ni siku nyingi hebu nijaribu kumsearch manually
 
Yupo tena na afya njema. Nilikaa naye benchi moja pale TAMISEMI tukisubiri kumchek naibu katib, hii ilikuwa mwezi Octoba mwaka jana. Hata hivyo check na Msemaji wa Simba bwana Ezekiel Kamwaga atakupa contacts zake kwani ni mdau mkubwa wa kipindi cha spoti kizaazaa ambacho Kamwaga anakihost.Mpe mchongo bwana jamaa yuko poa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom