Huyu msichana ananifaa?

Jibu unalo teyari anaopolewa kirahisi na yeyote pahala popote
 
Jamii forum mmmh sasa hapa hata nashindwa nikuambie nn. Wewe mtu mmekubaliana mkutane hapo alafu unamkuta na mtu mwingine, labda alikuwa anakuonyesha hakutaki kiutu uzima, na ww unataka ushauri. Wakati mwingine tutalazimika tuwe tunauliza umri wa waomba ushauri.
 
Love is like twitter, u follow someone who doesn’t follow u back.............
 
Unajua wivu unaweza kumfanya mtu aone kama hakuchangamkiwa
inawezekana alikuwa katika hali ya kawaida tu we ukaona kama kakuchunia
mi nashauri kama una mpango nae ongea naye tu, huyo Njemba walikuwa
na mipango ya kibiashara tu.
 
Usisepe, huyo ndo msichana uliyopewa na Mungu umuwowe awe mke wa ujana wako mpaka ziraili awatenganishe.
 
wewe hakuna tusi linalokufaa.. Matusi yote duniani hayakutoshi MSx§nfhfbhfdbnn..nge mkubwa kabisa .unaleta upuuzi wa kujaza saver hapa . Ala. Utaliwa kiboga wewe
 
Mmh.hujui kusoma usiniambie hata rangi hauelew maana picha inaweza kuwa ya makorokocho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom