ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,242
- 1,736
Nawasalimu wanajeiefu wote, straight to ze point ebwana huyu msanii anayeitwa WAKUVANGA wa kundi la ORIJINO KOMEDY huwa sioni anachokifanya zaidi ya kunikera!! kuchekesha kwenyewe hajui,anaforce fani ambayo sio yake. ushauri wangu kwa huyo jamaa angeenda kuimba taarabu na akina mzee yusuf ndio angependezea zaidi ......mwenye namba zake unipe nimpe MAKAVU LIVE.