Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,359
Mkuu X-PASTER lakini kutafuta riziki yake kunaweza kabisa kusababisha maafa makubwa kwa mamia kama siyo maelfu ya Watanzania. Fikiria jinsi Dar kulivyo na foleni kubwa za magari halafu hili gari lilipuke na huku lina mzigo mkubwa wa mafuta si kitakuwa kilio cha kusaga meno? Si vibaya kutafuta riziki lakini tufanye hivyo katia njia ambazo hazihatarishi maisha ya Watanzania wenzetu.
BUBU, mwaka huu utasema walahi, hiyo bold hiyo, Sio tanzania, Survival of the fittest elimination of the weakest. Vishoka no qualification ana connect umeme, contractor no registration anajenga ghorofa, dereva wa daladala no driving licence anapuyanga nayo, muuza mafuta not controlled anachakachua and the list goes on left right centre up and down.