Huyu mpenzi wangu simuelewi

Naboti

Senior Member
Apr 17, 2015
189
48
Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume.

Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na tukajuana tukakumbatiana sana na kukakutanisha na miili yetu ambapo nililala kwake siku mbili.

Cha kushangaza nilidhani tulivyoonana ndo ingekuwa muda mzuri kwa mimi na yeye kupanga mikakati ya mahusiano yetu lakini haikuwa kama nilivyodhania. Alikaa kimya na kunisindikiza kwenda kupanda gari kurudi kwetu Njombe yeye akiwa Dar es Salaam.

Nilipata safari ya pili kwenda Dar nilifikia kwake na nikalal siku moja na kurudi kwetu bila mipango yoyote juu ya mahusiano yetu.Sasa nikwamba tunawasiliana kama mtu na mpenzi wake kwa miaka miwili sasa lakini haoneshi mwelekeo wowote wa kuwa ananihitaji in future na wala hasemi chochote na kila nikisema nataka kumuacha huwa hakubali.

Siku za karibuni nimepata mwanaume yuko serious kabisaaa anataka kunioasasa naogopa kumkubalia wakati sijajua hatima ya yule wa Dar ambaye hasemi chochote.Naomba kwa mlionielewa mnisaidie mawazo hapo nimpige chini huyo wa zamani nimkubali mpya mwenye nia na mimi au niwe mwaminifu hadi aniache huyo wa Dar?

Nawaza nakosa majibu tafadhali msaada
 
Bila shaka Mlikutana mitandaoni na hukuwahi kumchunguza kuwa hakuwa na mpenzi mwingine au laaa!!!!.....cha msingi toa nafasi kwa huyo jamaa!! ,,,,,[............never Come twice!]
 
wewe endelea tu kuja dar ugegedwe weweeee. hiyo si mara ya pili ongeza zifike 30 sasa hesabu miaka mawili mara mbili je mara 30 utakua umekua kibogoyo..
 
duh kama unataka ndoa na kaja mwenye lengo la ndoa mkubali .. ila kuwa makini usikute wewe upo na muhemko wa ndoa wakati wenzio hawana hiyo mihemko... angalia na huyo mpya anaweza kutimia gia ya ndoa kukubanjua vizuri tu na akakuacha.. wewe ndiyo unawajua wachunguze kwa umakini
 
Mwee.....
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    11.1 KB · Views: 27
kwanini nyie wanawake mnapenda sana kuolewa? mkisikia neno ndoa mishipa ya akili yote inapasuka! mmekuwa cheap sana kupanua miguu. hata huyo jamaa anaekuahidi ndoa akishakupanua anasepa. kama shida yenu ndoa tutawapanua sana . si kila mwanamke ni wa kuolewa hata bila ya kupanua kama wa kuolewa utaolewa. mnapoelekea mtataka kuolewa hata na kaka zenu.
 
Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume.

Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na tukajuana tukakumbatiana sana na kukakutanisha na miili yetu ambapo nililala kwake siku mbili.

Cha kushangaza nilidhani tulivyoonana ndo ingekuwa muda mzuri kwa mimi na yeye kupanga mikakati ya mahusiano yetu lakini haikuwa kama nilivyodhania. Alikaa kimya na kunisindikiza kwenda kupanda gari kurudi kwetu Njombe yeye akiwa Dar es Salaam.

Nilipata safari ya pili kwenda Dar nilifikia kwake na nikalal siku moja na kurudi kwetu bila mipango yoyote juu ya mahusiano yetu.Sasa nikwamba tunawasiliana kama mtu na mpenzi wake kwa miaka miwili sasa lakini haoneshi mwelekeo wowote wa kuwa ananihitaji in future na wala hasemi chochote na kila nikisema nataka kumuacha huwa hakubali.

Siku za karibuni nimepata mwanaume yuko serious kabisaaa anataka kunioasasa naogopa kumkubalia wakati sijajua hatima ya yule wa Dar ambaye hasemi chochote.Naomba kwa mlionielewa mnisaidie mawazo hapo nimpige chini huyo wa zamani nimkubali mpya mwenye nia na mimi au niwe mwaminifu hadi aniache huyo wa Dar?

Nawaza nakosa majibu tafadhali msaada
Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume.

Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na tukajuana tukakumbatiana sana na kukakutanisha na miili yetu ambapo nililala kwake siku mbili.

Cha kushangaza nilidhani tulivyoonana ndo ingekuwa muda mzuri kwa mimi na yeye kupanga mikakati ya mahusiano yetu lakini haikuwa kama nilivyodhania. Alikaa kimya na kunisindikiza kwenda kupanda gari kurudi kwetu Njombe yeye akiwa Dar es Salaam.

Nilipata safari ya pili kwenda Dar nilifikia kwake na nikalal siku moja na kurudi kwetu bila mipango yoyote juu ya mahusiano yetu.Sasa nikwamba tunawasiliana kama mtu na mpenzi wake kwa miaka miwili sasa lakini haoneshi mwelekeo wowote wa kuwa ananihitaji in future na wala hasemi chochote na kila nikisema nataka kumuacha huwa hakubali.

Siku za karibuni nimepata mwanaume yuko serious kabisaaa anataka kunioasasa naogopa kumkubalia wakati sijajua hatima ya yule wa Dar ambaye hasemi chochote.Naomba kwa mlionielewa mnisaidie mawazo hapo nimpige chini huyo wa zamani nimkubali mpya mwenye nia na mimi au niwe mwaminifu hadi aniache huyo wa Dar?

Nawaza nakosa majibu tafadhali msaada
Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume.

Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na tukajuana tukakumbatiana sana na kukakutanisha na miili yetu ambapo nililala kwake siku mbili.

Cha kushangaza nilidhani tulivyoonana ndo ingekuwa muda mzuri kwa mimi na yeye kupanga mikakati ya mahusiano yetu lakini haikuwa kama nilivyodhania. Alikaa kimya na kunisindikiza kwenda kupanda gari kurudi kwetu Njombe yeye akiwa Dar es Salaam.

Nilipata safari ya pili kwenda Dar nilifikia kwake na nikalal siku moja na kurudi kwetu bila mipango yoyote juu ya mahusiano yetu.Sasa nikwamba tunawasiliana kama mtu na mpenzi wake kwa miaka miwili sasa lakini haoneshi mwelekeo wowote wa kuwa ananihitaji in future na wala hasemi chochote na kila nikisema nataka kumuacha huwa hakubali.

Siku za karibuni nimepata mwanaume yuko serious kabisaaa anataka kunioasasa naogopa kumkubalia wakati sijajua hatima ya yule wa Dar ambaye hasemi chochote.Naomba kwa mlionielewa mnisaidie mawazo hapo nimpige chini huyo wa zamani nimkubali mpya mwenye nia na mimi au niwe mwaminifu hadi aniache huyo wa Dar?

Nawaza nakosa majibu tafadhali msaada
Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume.

Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na tukajuana tukakumbatiana sana na kukakutanisha na miili yetu ambapo nililala kwake siku mbili.

Cha kushangaza nilidhani tulivyoonana ndo ingekuwa muda mzuri kwa mimi na yeye kupanga mikakati ya mahusiano yetu lakini haikuwa kama nilivyodhania. Alikaa kimya na kunisindikiza kwenda kupanda gari kurudi kwetu Njombe yeye akiwa Dar es Salaam.

Nilipata safari ya pili kwenda Dar nilifikia kwake na nikalal siku moja na kurudi kwetu bila mipango yoyote juu ya mahusiano yetu.Sasa nikwamba tunawasiliana kama mtu na mpenzi wake kwa miaka miwili sasa lakini haoneshi mwelekeo wowote wa kuwa ananihitaji in future na wala hasemi chochote na kila nikisema nataka kumuacha huwa hakubali.

Siku za karibuni nimepata mwanaume yuko serious kabisaaa anataka kunioasasa naogopa kumkubalia wakati sijajua hatima ya yule wa Dar ambaye hasemi chochote.Naomba kwa mlionielewa mnisaidie mawazo hapo nimpige chini huyo wa zamani nimkubali mpya mwenye nia na mimi au niwe mwaminifu hadi aniache huyo wa Dar?

Nawaza nakosa majibu tafadhali msaada
Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume.

Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na tukajuana tukakumbatiana sana na kukakutanisha na miili yetu ambapo nililala kwake siku mbili.

Cha kushangaza nilidhani tulivyoonana ndo ingekuwa muda mzuri kwa mimi na yeye kupanga mikakati ya mahusiano yetu lakini haikuwa kama nilivyodhania. Alikaa kimya na kunisindikiza kwenda kupanda gari kurudi kwetu Njombe yeye akiwa Dar es Salaam.

Nilipata safari ya pili kwenda Dar nilifikia kwake na nikalal siku moja na kurudi kwetu bila mipango yoyote juu ya mahusiano yetu.Sasa nikwamba tunawasiliana kama mtu na mpenzi wake kwa miaka miwili sasa lakini haoneshi mwelekeo wowote wa kuwa ananihitaji in future na wala hasemi chochote na kila nikisema nataka kumuacha huwa hakubali.

Siku za karibuni nimepata mwanaume yuko serious kabisaaa anataka kunioasasa naogopa kumkubalia wakati sijajua hatima ya yule wa Dar ambaye hasemi chochote.Naomba kwa mlionielewa mnisaidie mawazo hapo nimpige chini huyo wa zamani nimkubali mpya mwenye nia na mimi au niwe mwaminifu hadi aniache huyo wa Dar?

Nawaza nakosa majibu tafadhali msaada

Ina maana hiyo miaka miwili yote kabla hamjaonana hakuna mtu alikuwa anakutafuna?
 
Uyo wa Dar mfanye mchepuko huyo mwenye nia mfanye mme, hakuna kuacha kitu apo wanawake wenzako wanatamani wapate ata mwanamme mmoja hawapati, wewe unao wawili unajiuliza.!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom