Huyu mpare tu!

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Tajiri kanunua mbuzi!

Akamwambia mpishi!

Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friza!

K ichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi chukuchuku!

Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pika na ndizi!

Mavi weka kwenye bustani. ni mbolea nzuri

Na mifupa tutawauzia wenye mbwa!

Mpishi akamuliza:

Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako?
 
Duh!mimi simo!sina utani na wapare labda wangekuwa wagogo ningesema kitu!!!!!
 
Mpwa, acha uchokozi, mie watani zangu ni wachaga tu
 
Wakuu, wapare wamezidi. Hawatupi kitu. Hata mchinjaji wake ni mpare aliyetoa wazo la ringtone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom