Huyu migration officer anasumbua wageni

mgadafi

Member
Feb 27, 2012
54
18
jamani naomba mnisaidie kuna imigration officer mmoja hapa mkoani kigoma kila akimwona mtu mweupe hasa wazungu na wahindi kavaa overroll tu basi kosa atauliza pass na work permit bila kujali huyoanaemuuliza ni mwenyeji au
 
jamani naomba mnisaidie kuna imigration officer mmoja hapa mkoani kigoma kila akimwona mtu mweupe hasa wazungu na wahindi kavaa overroll tu basi kosa atauliza pass na work permit bila kujali huyoanaemuuliza ni mwenyeji au
Huyo ni mchapakazi anayehitaji kuungwa mkono kwa nguvu zote. Ni tofauti kabisa na watanzania wavivu kama kikwete, malima na ngeleja
 
Anatafuta rushwa kwa nguvu zake zote.

Mbona tukishaingia tu nchi zao hawatusumbui kwa kutuuliza uliza, hata miaka unaweza kukaa hujaulizwa labda ufanye kosa.
 
Kwa kweli anastahili pongezi sana tunataka wachapa kazi kama hao, yaani hawa watu weupo ndio wa kukomaa nao sana kuliko weusi, hapo mimi naona hamna tatizo lolote anafafa kazi vizuri, wewe unafikiri ukienda kwao hawatakusumbua, huyo ndio mzalendo hasa, Region Immigration Officer kama umepitia thread muuongeze cheo kama lipo ndani ya mamlaka yako. Wazungu na wahindi wengi siku hizi nao ni matapeli.
 
yah ni kweli wahind kwao ukishaingia swala la wapi bana katu hulisikii labda uvurunde ila kwa kwetu ukilinganisha na uchanga wetu naona ni muhimu tukawa makini hasa kwa mipakan kwani mara kadhaa tumekuwa tukisikia vitendo c vya kihalifu vikihusisha wageni
 
Huyo naisi afadhari. Kuna jamaa anaitwa njunwa mulaki yuko kibondo kama afsa uhamiaji wilaya.huyo ni noma. Amepanda na ata mkono anauweza.alikuwa kasulu aliwanyosha warundi hapa.ata huyo wa kgma nampa big up,chapa kaz kamanda. We mgadaf ni mtu wa wapi?yawezekana u-mrundi/congoman.
 
watu tunaowataka kwenye serikali yetu mwaka 2015 ..na kuna siku ntamvika nishani kwa maana anajua majukumu yalke na anatenda kazi yake sawia kabisa..Pongezi wewe afisa uhamiaji unayesemekana unasumbua wageni....
 
Ukitaka kujua usumbufu wa maofisa uhamiaji nenda nchi za wenzetu, huyo anafanya vizuri sana, wahamiaji haramu hapa Tanzania ni wengi sana mwishowe wanajifanya watu wa kigoma, Tabora au Kagera.
Mwache afanye kazi cha muhimu asiwe mzee wa mlungula a.k.a kitu kidogo.
 
huyo chapakazi
tumeshaozea kuacha mambo kiholela holea bila kuwa na uzalendo
nampa hongera ningekuwa kigoma mdaa huu ningempeleka website au sandra au Lake tanganyika akajimwage au nampeleka bangwe kesho pale beach disco la mchana au jms kwa Mtei kwenye disco
 
safi sana....aendelee kuwauliza, wengine wanakuja kufanya kazi huku ilhali wameingia kama watalii....aendelee hivyohivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom