Huyu mfungwa/mahabusu apelekwe wapi?

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
kuna kitu kinanitatiza sana mashoga wana mtihani mkubwa sana,wanapo pelekwa gerezani kwa makosa ya jinai huwa wanawekwa maabusu ya kike au ya kiume?maana akiwekwa mahabusu ya kiume itakuwa kama wamempiga teke chura,na huku mahabusu ya wanawake napo haitakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom