Huyu Meya wa arusha haoni kuwa hapendwi na wananchi, kwanini asijiuzulu?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Mi nashangaa sana jamaa kachakachua, vitu ambavyo havichakachuliki, wananchi wenyewe wamesema hawamtaki, sasa yeye atashirikiana nanani? mbona anakuwa kama chizi, wewe kama unataka kuwatumikia wananchi utawatumikia watu wanaokukubali na si vingine

Nenda kajiuzuru kwa Wachakachuaji wenzako huko Arusha hawakutaki wewe Mea sijui jina lako nani, Hata mkeo hakushauri?
 
Back
Top Bottom