Huyu Membe Naye!

Liwolo

Member
Apr 11, 2011
13
2
Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha nyota UDOM.Kuna umuhimu wa kuwa mgumu kuamini.
 
tena huyu membe ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaa..yaani ni kiazi sijapata kuona...ukimuuliza swali utakoma anavoanza kuzunguka weeeee mpaka anaingiza kanuni za tanu ndo atoe jibu...
 
Mbooopo kwani huko Dodoma hakuna net? Tazama hawa jamaa wanafunua kambi yetu ya vijana tuliyoanza kuunda kupitia sherehe ya kuwapongeza wabunge wa CCM vijana? Sasa ukikaa kimya watazidi kuchafua ni bora njoo usaidie jahazi hapa.
 
Ndo style ya CCM tena si kujizungusha tu hata ukimkuta kwenye kiti amekaa lazima hajizungushe akupe mgongo ndo akujibu "anacheza na kiti anapozungumza hasa akiwa ameketi" upo mkuu
 
msafara wake utatekwa lakina huwa wanaishia social ambapo walioko huko hawana tofauti kati ya wavulana na wasichana wote wanajichubua akija education atazomewa kama pinda alafu huwa huku kwa walimu huwa wanajua membe hafai mziki wa udom unazimwa na mbowe au lema sio watu kama hawa aulize mjadala wa katiba watu walivyo aibika
 
Nyie ndiyo vilaza kwelikweli sijapata kuona!! Mnachoongea ni umbea wa kina mama wanapopika "kisamvu" Grow up!
 
Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha nyota UDOM.Kuna umuhimu wa kuwa mgumu kuamini.
Hoja yako ni nini? Mbona unazuka tu na kuingia KI UDAKU UDAKU? Acha kuja Ki mugongo mugongo eleza haja yako hapa
 
tena huyu membe ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaa..yaani ni kiazi sijapata kuona...ukimuuliza swali utakoma anavoanza kuzunguka weeeee mpaka anaingiza kanuni za tanu ndo atoe jibu...
Huyu jamaa ndo yule aliyekosea protokali kwenye mkutano wa Sullivan, mpaka Nyoka(aliyejivua gamba juzi) akaingilia kati? Yupo kwenye mkakati mzito sana wa kujitengeneza.
 
Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha nyota UDOM.Kuna umuhimu wa kuwa mgumu kuamini.

Liwolo, hoja yako hapa ni nini?
 
tena huyu membe ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaa..yaani ni kiazi sijapata kuona...ukimuuliza swali utakoma anavoanza kuzunguka weeeee mpaka anaingiza kanuni za tanu ndo atoe jibu...

Taabu tupu waziri huyu jamani,lakini mizigo mingi tu iko kwny baraza la ******.
 
Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha nyota UDOM.Kuna umuhimu wa kuwa mgumu kuamini.
Sijakuelewa...
 
Hivi hii thread imefuata nini hapa? Maana sioni kilichozungumzwa na unapata picha kwamba pengine aliyeianzisha ana tatizo na sanity ya kichwa chake. Halafu ndo mnataka Mbopo aingie kujibu. Sasa hapa atajibu nini wakati hata siye wengine hatuelewi? Acheni chuki binafsi!
 
Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha nyota UDOM.Kuna umuhimu wa kuwa mgumu kuamini.

Umeona utoke na hiyo thread katika harakati zako za kujivua gamba na wewe, maana tunajua kwamba umeamua kujibadilisha jina ili uonekane mpya. Hivi kuna big deal gani kwenda UDOM, kama hata Lema amefika na kuhutubia (na elimu yake uchwara)?
 
Wala sina muda na huyu jamaa...nahakika hatawapata watu maana kila mtu alikuwa akiguna hapa UDOM aliposikia kuwa huyu mzembe yupo hapa......................
 
Unadhani kuguna ni kuashiria kwamba wao wanaelewa. Mjomba elewa kwamba siyo kila unachokipenda wewe ndiyo choice ya wengi na vile vile siyo unachokichukia wewe ni adui wa umma. Tena usiende kusikiliza maana nina mashaka na uelewa wako! Phobia tu mpaka mtakufa!
 
Back
Top Bottom