Huyu mama ana" udongo" mzuri..

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Huyo mama toka nianze kumuona enzi hizo nikiwa kinda mpaka leo bado yuko vilevile tofauti na wenzake kama Tshala muana,Tabia Mwanjelwa n.k.,i luv this song anyawayz..

Last edited by a moderator:
Mbilia kweli ukimtazama anaonekana bado wamo,Tshala muana amejiachia sana,kawa bonge la mtu hata kile kiuno tena siku hizi kinamshinda huwahachezi anawaachia vijana yeye anasimama pembeni,enzi zake ukimuewekea mutuashi na kile kiuno balaa lake si la kitoto!
 
Huyo mama toka nianze kumuona enzi hizo nikiwa kinda mpaka leo bado yuko vilevile tofauti na wenzake kama Tshala muana,Tabia Mwanjelwa n.k.,i luv this song anyawayz..

udongo au make up? hakuna udongo dunia ya leo
 
Last edited by a moderator:
wimbo maalum kwa ajili ya rais kabila kwa ajili ya uchaguzi

Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom