Huyu kweli ananipenda au ananichuna tu?

Inno laka

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
1,616
583
Okey..'mpango mzima n hv wana mm nina mdashost wangu mmoja yupo..'college moja hv pand za Mosh,kilimanjro..'nimekuwa naye kwa mda mrefu xaxa mara nying yeye kunitafuta labda mpaka awe nashda 2.'ndo mm ananijua!! hv kwel hyu m2 anamapenz ya kweli anakaa hata wk mbil bila kunitafuta cku akinipigia cm utasikia anashda na k2 flan hv ndo kwel mapenz yamekaa hv?
 
Ujinga mtupu, unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivyo. Kwa taarifa yako kama hujakamata BUNYE ndio hulambi tena na utachunwa kwa sana na ujinga wako
 
Umekaa ki FB ndo maana unachunwa utabaki mifupa mitupu.
 
mkuu chapa lapa. kama kweli anakupenda mwambie aje Ukamuo iyo stop engine kwanza acha kuwait mkuu.

ukishindwa kufanya yote mpime mwambie una matatizo fulani akutumie elfu 80,000/=, uone moto wake, apa mjini kaka kuwa makini.........
 
akili kichwani kwako mjomba......!! na huwa ukimwambia labda huwezi kumsaidia shida yake huwa ana-react vp? Face the truth man, halafu huo uandishi wako unanichukiza mno, hivi kwa nini uandike "xaxa" badala ya "sasa", huo ni ushamba!!
 
mbona huyo kawaida tu hata hakuchuni sana?yaan kila baada ya wik mbili,kweli unabahat sana maana mie huchuna kila baada ya siku mbili tu na nafikiria kupunguza siku za kusubiri.
nakushauri uongeze bidii ya kutuma pesa angalau apunguze shida alizonazo
 
anakuthamini yani wewe ni kimbilio lake. ukipenda boga penda na ua lake. unataka akutafute kila siku? mi wangu hata miezi miwili inaisha.kama unataka mawasiliano ya usiku na mchana muoe.
 
mbona huyo kawaida tu hata hakuchuni sana?yaan kila baada ya wik mbili,kweli unabahat sana maana mie huchuna kila baada ya siku mbili tu na nafikiria kupunguza siku za kusubiri.
nakushauri uongeze bidii ya kutuma pesa angalau apunguze shida alizonazo


hahahhahahahahahh umenichekesha sana.....wonders shall never end-in nigerian voice.
 
Si aliniona buzi, kunibebabeba kama kiroba,...... Dogo wewe ni buzi. Kuna mshikaji mmoja alikuwa na demu wa dizaini hiyo kila akinusa tu demu lazima abinuke sarakasi kama jamaa anakamtambo ka kufyatulia mkwanja!!!!

Alichokifanya ni kumtolea mbavuni tu.
 
Back
Top Bottom