Huyu kweka ni nani?

power tiller

Member
Jan 17, 2012
13
1
wandugu huyu kweka aliyetajwa na mbunge kuwa anamtandao wa kihalifu ndani ya jeshi la polisi ni askari wa wapi?
 
Alikuwa anafanya kazi Makao makuu pale Kitengo cha usajili wa silaha(CAR) ana cheo cha sajenti kama sikosei
 
Kwanini spika hakumzuia Lugola kujadili mtu ambaye hayupo Bungeni kama kanuni zinavyosema?Kwanini alimruhusu aendelee na akumkalipia alipomaliza?
 
mbona mahita alikuwa anashirikiana na majambazi nje nje na bado anadunda kita hadi leo?watafungwa wengi magamba wakiachishwa madaraka!!!
 
Back
Top Bottom