Hata hivyo, kifo cha Barlow kimetokea siku moja tu baada ya kutoa kauli ya kutatanisha juu ya tukio la polisi kummiminia risasi Ofisa Uhamiaji wa Mkoa wa Mwanza, Albert Buchafwe, kwamba aliingia katika mtego wao na kwamba ilikuwa auawe kwa kupigwa risasi.
Akizungumza na NIPASHE alhamisi iliyopita Barlow alisema kuwa:" Ni kweli kuna tukio kama hilo, lakini yalikuwa ni mashambulizi ya gizani kwa sababu askari walimfananisha ofisa uhamiaji na jamabzi waliyekuwa wamemuwekea mtego, nadhani ana bahati kwanindiyo akwaida yetu hutubembelezani na majambazi."
Pamoja na kauli hiyo kamanda huyo hakueleza kwa jinsi gani ofisa huyo haliingia katika mtego huo kwani hakuwa katika tukio la uporaji. Hahahahaha kuna wimbo wa Twanga pepete waliimba ''iyoyo iyoyoyo mchimba kisima kaingia mwenyewe nambari one mchimba kisimaa kaingia mwenyewe.............yu wapi sasa.Ukiuwa kwa upanga utauliwa kwa upanga na si kwa Jembe