Huyu kaka yangu vipi!?

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Eti jamani, ni haki kaka kumlinda mdogo wake wa kike ambaye ni zaidi ya miaka 18 asiwe na Boy Friend?
Mie huyu kaka yangu mwenzenu keshanichosha, natamani hata kumtovuga!
 
mwambie bhana umeshabalehe,umeshavunja ungo asikuzingue.
 
Dunia imechafuka sn mdogo wangu, kama wewe ni mwanafunzi zidisha juhudi kwenye masomo na km wewe ni mfanyakazi zidisha juhudi kazini, wanaume hawaishi kama utajiheshimu utajaolewa lkn ht kama ww ni mzuri kama malaika km umeshaanza kumegwamegwa hovyo kuolewa kwako itakua bahati nasibu, KAKA YK ANAWAMEGA WASCHANA NA KUWATOSA ANAJUA NAWEWE UTAMEGWA NA KUTOSWA NDIO MANA ANAKUNYIMA. tafakari chukua hatua
 
Eti jamani, ni haki kaka kumlinda mdogo wake wa kike ambaye ni zaidi ya miaka 18 asiwe na Boy Friend?
Mie huyu kaka yangu mwenzenu keshanichosha, natamani hata kumtovuga!

Anaogopa usije pata ngoma
 
Mie mwenyewe nina akili yangu, kwani sijui ngono salama!
 
Eti jamani, ni haki kaka kumlinda mdogo wake wa kike ambaye ni zaidi ya miaka 18 asiwe na Boy Friend?
Mie huyu kaka yangu mwenzenu keshanichosha, natamani hata kumtovuga!

Unataka boi friend wa nini..mbona mapema sana, ukiwa mkubwa si ndio utataka punda?? Kaka yako anakupenda hataki yakukute ya ku kukuta.! Soma kwanza, ila ukiona unawashwa sana, nitafute.
 
Mwambie hakuna CEO mwenye experience ya miaka 0.
Afu mweleze wewe ni mjasiliamali wa malavidavi so unahitaji kupiga part time ukiwa shule.

Eti jamani, ni haki kaka kumlinda mdogo wake wa kike ambaye ni zaidi ya miaka 18 asiwe na Boy Friend?
Mie huyu kaka yangu mwenzenu keshanichosha, natamani hata kumtovuga!
 
Unataka boi friend wa nini..mbona mapema sana, ukiwa mkubwa si ndio utataka punda?? Kaka yako anakupenda hataki yakukute ya ku kukuta.! Soma kwanza, ila ukiona unawashwa sana, nitafute.

Ukubwa gani unaosemea, mie nshamaliza kidato cha nne, bado ni mdogo tu!?
 
Hivi hili jambo lina kusubiri kweli!? jamani tusidanganyane!

Wewe binti unaonekana mbishi sana wewe. Yaani wenzio wanakushauri lakini hata huelewi kabisa. Haya basi nenda ukampe hawara yako hicho kitumbua chako akuambuze maukimwi yake. Tena kama vipi mkingie hata TIGO akuchanechane.
 
Shika adabu yako weye mjaa laana..........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom