Huyu Jumapili Kayuni vipi na Kaseja!

davidmimbi

Member
Nov 1, 2010
18
0
Haiingii akilini mtu kama kayuni nakuwa na bifu na Kaseja,kwanza viwanja anavyotanulia kaseja ni tofauti na Kaaseja,leo iweje huyu babu agombane na kijana wake mpaka amwekee visa kwenye maisha! Kayuni weka wazi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom