Huyu jamaa lazima atakuwa ni Murhaaa

kwa uzoefu wangu, huyo mtoto alikuwa anatumika na mama kama human shield...ila siku hizi hatupigi wanawake.
 
mi nilidhani huyo mume kabeba kiroba kumbe mtoto!...hivi akimtupa inakuwaje?nahic namnyonyo vinyweleo vyote...:A S 100:
 
Hiyo ndiyo kazi ya Pombe. Ivi mnadhani Mungu aliyekata ulevi yeye hakujua ubaya wake. Ukiwa pombe unakuwa shetani mtu kwahiyo huyo mzee hapo hakuwa mtu wa kawaida bali shetani mtu, kisa kalewa pombe. Ulevi nooooooooooma.
 
mmh, mtoto huyo jamani???.............................. hivi lini watoto wa Tanzania nao watatambuliwa kama binadamu???.....................
 
attachment.php

Maskini mtoto nae kakunja kangumi kake anatafuta upenyo tuu,daa inauma sana
 
Hiyo ndiyo kazi ya Pombe. Ivi mnadhani Mungu aliyekata ulevi yeye hakujua ubaya wake. Ukiwa pombe unakuwa shetani mtu kwahiyo huyo mzee hapo hakuwa mtu wa kawaida bali shetani mtu, kisa kalewa pombe. Ulevi nooooooooooma.

Hakukataza, angekataza wala ulevi usingekuwepo.
 
Nilikuwa sijamwona huyo mtoto. Bora nisingeona. Siku yangu imeisha vibaya.
 
nani kawaambia kua wakurya tu ndio wakatili ?huo sasa ni ukabila mnataka kuleta hapa
 
nachukiaaa sanaa wanaume wanaopigaa wanawake,imagin ni mamaa ako,dadaa ako au mdogo wako ana fanyiwaa ukatili huo....:hatari::embarassed2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom