Huyu jamaa huyu...

dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
2,038
3,124
ImageUploadedByJamiiForums1472167859.909381.jpg
 
Huyu sio mtu mmoja! Mtu mmoja hawezi kumaliza pombe zote hizo na akifanikiwa kumaliza haamki tena
Pia angeondoa hizo glass! Kuna glass takriban 5 amezitumiaje pekeyake?
Ila kwakuwa ni jukwaa la picha haina shida kivile

Ni kwel mkuu labda angekuwa na maini ya chuma
 
Kuna jamaa alipiga tarumbeta hicho kibuyu kikubwa kimoja basi hakupata nafuu kwa muda wa siku tatu akafa lazima figo maini utumbo vyote viungane kama cement maji na mchanga kisha unasikia kwa mbali watu wanaimba parapanda italia parapandaaa.
 
Iv wananunua kwa sh ngap yaweza kuwa nina mtaj lkn nachezea
Sina uhakika wa bei... ila inaweza kufikia kati ya sh 100 hadi 250 hivi kwa chupa, ukizikusanya ulizotumia ukiziuza ah! unapata mashine ya kusagisha mahindi mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom