Huyu Jamaa hakutendewa haki kabisa na waajiri wake, hebu jisomee

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
[h=6][/h]Interviewer: Why did you leave
your last job?

Jamaa: The Company shifted
their office... and didn't tell me
where.
 
alipokuwa wanamuinterview ndipo ofisi zao zilipo hamia
huyu jamaa kilaza kweli
 
alipokuwa wanamuinterview ndipo ofisi zao zilipo hamia
huyu jamaa kilaza kweli
angalia wewe usije ukawa ndo kilaza maana yawezekana huyo jamaa alikuwa anaomba kazi kwenye kampuni nyingine na hapo alikuwa anazungumzia kampuni kuhusu kampuni yake ya awali!
 
angalia wewe usije ukawa ndo kilaza maana yawezekana huyo jamaa alikuwa anaomba kazi kwenye kampuni nyingine na hapo alikuwa anazungumzia kampuni kuhusu kampuni yake ya awali!

mgumu kuelewa mwepesi kusahau wewe ambacho hujaelewa hapo ni kipi?
 
Ninachojiuliza ni, Je ina maana Kampuni iliamua jadiliana, ikapanga na kuamua kumtoroka?
 
Kampuni ilichukuliwa na mafuriko ya mto msimbazi yeye akiwa likizo ya xmas
 
Alifukuzwa kwa utendaji mbovu, then bila kutegemea anakutana na swali kama hilo uongo waharaka ulomjia ndo huo!
 
huyu jamaa ni mpuuzi kweli hapa mjini ukisikia kampuni imehama ujue ni mlimani ciyt au quality center alishindwa kwenda kuhakikisha hlo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom