Huyu jamaa anaitwa MBWIGA WA MBUGIKD ananikosha sana!

Ntaramuka

Senior Member
May 2, 2008
169
27
Kuna mtangangazaji wa kipindi sport extra na sport bar wa Clouds radio na tv anajiita Mbwiga Wa Mbugike ananifurahisa sana. Anajua kusimulia story za kimpira kwa mbwembwe safi huku akitumia maneno na misemo inayochekesha na kufurahisha sana mfano anasema MBWA HANUNULIWI MKUBWA, MWARABU GANI ANAVAA TAI, UMATEMATE, KUPIGA MBUNGI nk. Msikilizeni anachekesha sana
 
hahaaaa anasema enzi zake alikuwa anatupia moja mpja akiwa uwanjani ..hahaaaaa
 
Kiungo sio unapokea mpira kama ukuta, kiungo unachukua mpira unaumong'onyoa.
 
anakwambia mwalimu hata afundishe vp hawezi kuwa waziri,sa nikajiuliza mbona nyerere alikuwa raisi,au kwa kuwa alikwa sungura?
 
Back
Top Bottom