Huyu jamaa alikuwa anavizia kuiba usiku mitaa ya ubungo

Uongo mwingine bwana yaani picha imepigwa mchana tena juu kunamwanga mkali tu ikiashiria jua limechanganya kinoma.
 
hapo ukimbamba unampa kipigo cha ukweli ila tu usimuue..!
jamaa akikatiza mitaa ya kwetu huku kitunda na akafanya mambo kama haya..! anaweza akajuta maisha yake yote..!
 
Back
Top Bottom