Huyu hapa anaelekea kumpiku Nape kwa "point" ndani ya CCM

Anyone knowing common hesabu, in the equation below, substitute "n" with any largest figure you know under the sun and share the ANSWER!
524018_199190553541959_1808874647_n.jpg


Madam English......mbona kwa hesabu zangu za HKL kwenye jina NAPE nikisubstitute "N" inabaki APE AMBAYO ni class ya animals fulani inayofanana na binadamu na wanyama hao wanapatikana Gombe national Park. Sasa huko CCM who is ape?
 
Wana Jamii Forum,

Kwa wale wanaopenda kumsakama Nape na Mwigulu, naomba niwaulize maswali yafuatayo: Hivi kweli katika kipindi hiki cha uhaba wa kazi na ukafanikiwa kupata ajira ya kuwa msemaji wa ccm ambapo utatakiwa kufafanua sera, mipango, mafanokio ya nchi ndani ya miaka 50 iliyopita ukielezea jinsi tulivyothubutu; kuweza; na kuzidi kusonga mbele, na kuelezea kwa ufasaha tulivyofanikiwa kuimarisha siasa yetu ya ujamaa na kujitegemea, utekelezaji wa kaulimbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania, jinsi chama chenye alama ya jembe na nyundo kwenye bendera yake ikimaanisha wakulima na wafanyakazi kilivyofanikiwa kuboresha maisha ya wakulima wa pamba; tumbaku; korosho; kahawa; nk achilia mbali kuboresha masilahi ya madaktari; walimu; nk.

Kusema kweli walio wengi wangeshaitema hiyo kazi - Bravo Nape Nnauye na Nchemba Mwigulu! Hii ni mara ya kwanza kusikia watu wakimtaka mtu anayekaribia kukata roho asirushe miguu, nani anayependa kufa jamani? Please leave Nape and Nchema alone as they are fighting for their lives on their death beds!

Natumaini nimeeleweka.
 
Mwigula ana matatizo, hay0 unayoyafanya sio waliyokutuma wananchi wako jimboni, kila akisimama bungeni kuchangia ni cdm tuuuu, hivi kero za wananchi wake anazisema saa ngapi?????
 
Wana Jamii Forum,

Kwa wale wanaopenda kumsakama Nape na Mwigulu, naomba niwaulize maswali yafuatayo: Hivi kweli katika kipindi hiki cha uhaba wa kazi na ukafanikiwa kupata ajira ya kuwa msemaji wa ccm ambapo utatakiwa kufafanua sera, mipango, mafanokio ya nchi ndani ya miaka 50 iliyopita ukielezea jinsi tulivyothubutu; kuweza; na kuzidi kusonga mbele, na kuelezea kwa ufasaha tulivyofanikiwa kuimarisha siasa yetu ya ujamaa na kujitegemea, utekelezaji wa kaulimbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania, jinsi chama chenye alama ya jembe na nyundo kwenye bendera yake ikimaanisha wakulima na wafanyakazi kilivyofanikiwa kuboresha maisha ya wakulima wa pamba; tumbaku; korosho; kahawa; nk achilia mbali kuboresha masilahi ya madaktari; walimu; nk. hapo sijaongelea wizi wa meremeta, tangold commodity import support (CIS), EPA, kagoda, rada, kuuzwa kwa NBC na mashirika mengine kwa bei poa, kiwira, buzwagi, container terminal, mafanikio kwenye uendeshaji wa reli yetu, air tanxania, bandari, tanesco, dawasco, mikataba ya madini, vitalu vya uwindaji, utoroshaji wa wanyama wetu hai,kutetea sera mpya ya kuvua gamba, kuongezeka kwa umaskini sambazmba na ukuaji wa deni la taifa, kuimarika kwa viwanda vya nguo, korosho; nk, mafanikio ya shirika la ccm la uchumi na kilimo (SUKITA) uliosimamiwa kwa dhati na wachumi waliobobea sampuli ya mwigulu nchema, na uozo mwingine mwingi.

Kusema kweli walio wengi wangeshaitema hiyo kazi - Bravo Nape Nnauye na Nchemba Mwigulu! Hii ni mara yangu ya kwanza kusikia watu wakimlaumu mtu anayekaribia kukata roho eti ni kwa nini anarusha miguu, nani anayependa kufa jamani? Please leave Nape and Nchema alone as they are fighting for their lives on their death beds!

Natumaini nimeeleweka.
 
Huyu jamaaa ni CONFUSED ZOMBI ana mtindio wa ubungo alishawahi kupatwa na kichaa akiwa UDSM mwaka wa kwanza pia hana maadili ya uongozi ana mke lakina alishawahi kuzaa na housegirl wake pia nadhani mnakumbuka UZINZI aliofanya IGUNGA alilala na mke wa kada mwenzie akaokolewa na viongozi wa wilaya AREMERU alikuwa mnakula uroda na mke wa kiongozi mwandamizi wa UVCCM.
 
Back
Top Bottom