huyu hana mpinzani,Mungu amlaze mahali pema peponi.AMeen

....huwezi ukamplease kila mmoja,ila wengi watakubali you touched lives of soo many..RIP
 
Kwa hiyo interest yako ilikuwa nitaje wote uliowataja? Basi nitawataja wote halafu nitaongeza na wengine.

  1. Kambona
  2. Jumbe
  3. Sheikh Takadiri
  4. John Okello
  5. Brigadier Mayunga
  6. X - man
  7. Tuntemeke Sanga
  8. Mwinyi
  9. Malecela
  10. Horace Kolimba
  11. Jakaya Kikwete
  12. Edward Lowassa
Unahitaji zaidi? Actually, haikuwa interest yangu kutaja watu. Interest yangu ni kujibu hoja na mantiki. Sidhani kama ugomvi wako ni Nyerere kufanya aliyoyafanya kwa watu hao ila Nyerere alivyoperform kiutawala na "kutumia ubabe kuongoza nchi," hii ndiyo ilipaswa kuwa interest yako. Kama nia yako nimtaje Sheikh (sikumtaja ili nikupime, bahati nzuri/mbaya umeingia mtegoni) basi sitajadili chochote na wewe. Japo nafahamu uwezo wako ni mdogo kupambanua mambo lakini nilijipa moyo nikujibu. Kinachonifanya niseme uwezo wako wa kufikiri ni mdogo ni pale nilipotaja wawili kati ya watatu uliowataja badala ya kunibana niseme hao wawili nawafahamu vipi ukaishia kudai sijataja watatu. Hivi suala ni kutaja tu? Hivi unajua hata hao wawili niliowataja ninawalaumu au kuwasifu kwa lipi? Je katika majibu yangu nimewataja hao wawili kuwa wabaya au wazuri? Sasa katika mazingira kama haya unadhani nitavutiwa kujadili na wewe? Ikiwa mambo madogo kama haya huwezi kuyapambanua je tutakapoanza kujadili kuhusu kitabu cha Karl Marx "Communist Manifesto" au cha Newton "Principa Mathematica" tutaelewana kweli? Kumbuka hapa sizungumzii falsafa nazungumza mfumo wa kufikiria.

Mtu anaweza akakusoma tu akili yako kutokana na unavyoandika. Watu wanaosema "kuuwa" badala ya "kuua" au kusema "dhulma" badala ya "dhuluma" (nazungumzia Kiswahili sanifu) ni watu wa kada moja. Unahitaji kujifunza pia misingi ya maisha kuliko kuingia kichwa kichwa kuubeba urithi wa "katuonea sana. Kazuia dini yetu. Katunyima TV...."

Watu wa aina yako huwa hawataki kwenda shule halafu wanalaumu kuonewa kimaisha. Hawataki kufanya kazi, wanaishia kucheza bao halafu wanalaumu mtu mwingine kwa umasikini wao. Wanazuia watoto wao kufanya kazi za maendeleo na kwenda sekondari halafu wanadai wanataka nafasi sawa serikalini.

Summary:
Sikusudii kuendeleza mjadala na wewe kwa kuwa hutoelewa hoja zangu. Kama ungezielewa na ukazipinga kwa hoja ningekuelewa. Usipozielewa na ukazipinga bila hoja sitakuelewa, sijui hoja yangu umeielewa?

Sote tuko duniani. Ni lazima utambue sasa u kijana (nimeangalia mfumo wako wa kufikiri na mtiririko wa mawazo kutokana na maandishi yako) unahitaji kufanya kazi na kujifunza busara za dunia. Chuki unazofanya kwa Nyerere na "watoto wa jirani" hazitakusaidia kwa kuwa hautawashinda watoto wa jirani. Kuna muda wewe utakuwa mzee una meno mawili tu mdomoni, mgongo wako hautakuwa na uwezo wa kunyooka na hautaweza kufanya kazi tena kwa sababu nguvu za mwili zitakuwa zimeisha. Wakati huo utakuwa ukisubiri kwenda jehanamu kwa kuwa ulisahau kutenda mema na muda wako ukautumia kumlaumu Nyerere. Hutakuwa na jibu la swali "Ni nani alikuwa imam wako ulipokuwa duniani?" Watoto wa jirani yako waliojikita katika elimu watakuwa wakikudondoshea shilingi mia kama watakuwa na sarafu mifukoni mwao.

Fanya kazi. Soma. Jifunze maarifa. Jifunze falsafa. Jifunze saikolojia. Jifunze busara. Jifunze kufikiri kisayansi. Mheshimu Mungu. Tambua umri wako na badilika, kucheza na wanasesere waachie watoto.

mkuu maneno yako ni makubwa na yenye hekima. Naomba niyaprint ili nipitie moja baada ya jingne. Unafaa kuwa mshauri wa JF.
 
Kwa fikra zako finyu ulitaka niseme au nione utakavyo wewe? La hasha!

Unajuwa kuwa huna la kujibu katika madhila tuliyoukuwa nayo wakati wa Nyerere, na kama hukuyaona au kuyahisi basi utakuwa ulikuwa ni mmoja wa watelezaji wake au ulikuwa ni mwanjo mwanjo ambae hakuona kitu ila hicho kilicho machoni mwake, kama kipofu aliyeona Punda!

Au ulikuwa mmoja kati ya wale waliopandikwa kwenye vi-flat vya msajili walivyodhulumiwa wamiliki wa halali?

Laiti ungalikuwa mwenye muono pevu, wakati huo, kwenye list ya hao uliowataja sijui kama unawajua wangapi kati yao waliedhulumiwa na Nyerere au kuikimbia nchi wakati wa Nyerere au walikuwa washirika na magawadi wa Nyerere ka ulivyo wewe.

Ukiwekewa list ya ukweli ya waliofanyiwa madhila wakati wa Nyerere sidhani kati yao kama utathubutu kusema aahh, hawa hapana.

Usitake kutukumbusha dhiki na dhima tuliyoionja wakati wake, na kama hujaionja basi u kama nilivyokuelezea hapo juu.

Nitajie jema moja ulijuwalo wewe aliyelileta Nyerere hapa Tanzania au Tanganyika.
 
Umemaliza mkuu.Wenye akili wamekuelewa.Haina haja ya kupoteza muda na nguvu zako kujibizana na mpumbavu.Be blessed!
 
Mpumbavu tena wa kutupa ni wewe unayekubali na kusherehekea unayoyasikia bila kuwepo. Ungalikuwa umewahi kupanga foleni ya Unga wa Ugali, tena wa njano, ambao kwa sasa hata ukipewa bure huutaki, usingethubutu kutukana wenzako. Pumbavu mkubwa wee!
 
we mbwegembwege vipi una pele nini linakuwasha huko nyuma?wapi nilipokutaja kuwa weye ndiye mpumbavu?acha kushobokea wanaume.
 
Mi nadhani alale jehanamu na achomwe Sanaa na moto maaana hay mauzauza ya ccm eye ndo ameleta

MMMMMMMMMhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh. Mungu atusamehe.

Ni watu wachache sana wanaoweza kufika hata nusu yake kwa sasa. Kushinda tamaa na ubinasfi kazi sana lakini alijitahidi.
Alikiri kwamba kuna sehemu amekosea na tuache makosa yake, tuchukue mazuri.

Tuwe na shukrani jamani.
 
we mbwegembwege vipi una pele nini linakuwasha huko nyuma?wapi nilipokutaja kuwa weye ndiye mpumbavu?acha kushobokea wanaume.

Kuna mwanammme akaongea hayo unayoongea wewe? Ni mashoga tu wenye lugha kama yako. Naona wew ndie unawashwa, swine.
 
yeah sasa punga litajuaje lugha za majeda?ndiyo mana nakwambia tena,usiniletee ngede zako.Kama mimavi inakuwasha,tafuta mtu hapo jirani kwenu akupakue
 
Umemaliza mkuu.Wenye akili wamekuelewa.Haina haja ya kupoteza muda na nguvu zako kujibizana na mpumbavu.Be blessed!

The Following User Says Thank You to p53 For This Useful Post:

3D. (Today)
 
Kwa fikra zako finyu ulitaka niseme au nione utakavyo wewe? La hasha!

Unajuwa kuwa huna la kujibu katika madhila tuliyoukuwa nayo wakati wa Nyerere, na kama hukuyaona au kuyahisi basi utakuwa ulikuwa ni mmoja wa watelezaji wake au ulikuwa ni mwanjo mwanjo ambae hakuona kitu ila hicho kilicho machoni mwake, kama kipofu aliyeona Punda!

Au ulikuwa mmoja kati ya wale waliopandikwa kwenye vi-flat vya msajili walivyodhulumiwa wamiliki wa halali?

Laiti ungalikuwa mwenye muono pevu, wakati huo, kwenye list ya hao uliowataja sijui kama unawajua wangapi kati yao waliedhulumiwa na Nyerere au kuikimbia nchi wakati wa Nyerere au walikuwa washirika na magawadi wa Nyerere ka ulivyo wewe.

Ukiwekewa list ya ukweli ya waliofanyiwa madhila wakati wa Nyerere sidhani kati yao kama utathubutu kusema aahh, hawa hapana.

Usitake kutukumbusha dhiki na dhima tuliyoionja wakati wake, na kama hujaionja basi u kama nilivyokuelezea hapo juu.

Nitajie jema moja ulijuwalo wewe aliyelileta Nyerere hapa Tanzania au Tanganyika.

Nia yangu ilikuwa ujumbe ufike. Ujumbe umefika. Asante kwa kunielewa na pole kwa kuogopa kukiri hadharani. Gloria in excelsis Deo!!
 
hana mpinzani ,,,,,,,,,,,wanaobisha hawana hata nafasi ya ya kumchalenge.................hivi katika uongozi.... nani anamzidi kwa kufufua uchumi/kuujenga nchi ilikua haina hata chuo kilichokupa we elimu kumuona hafai,............hakuna techinologia lakini tuna madini angeuza enzi hizo kama hawa walivyofanya ungekuta unavua vyura kule mwadui,geita na nzega,,,,,,,.............subiri baada ya miaka kadhaaa wajukuu au watoto wetu watashuhudia mashimo /mabwawa itakua nchi ya utallii watu watakuja kutalii mahali zilipokuwa dhahabu na alimas
 
Katika watatu tu wa Mwanzo nilowataja umewafahamu wawili tu? Jee huyo watatu?

Kweli, inabidi umsifu. Kwani inaelekea ni mmoja wa wale waliofaidika na uDikteta wake na hukuwa na hisia za mamilioni aliowatesa, maelfu aliowauwa na maelfu kama si malaki aliowadhulumu.

Laiti ungekuwa unatazama na upande wa pili wa shillingi.
Leo, kila mTanzania, kwa njia moja ama nyingine analia kivyake. Anenyimwa haki mahakamani, anaekuwa harassed na polisi anaelilia ufisadi anaekosa haki za msingi wa masomo na afya.

Jee hujui au hutaki kujuwa kuwa hiyo ndio legacy ya Nyerere.

Kang'atuka kaiacha nchi inanuka kwa uozo, haina fedha bank, mpaka kaichoma mto benki kuu kabla ya kung'atuka, kachoma moto makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani, kabla ya kung'atuka. Kaacha nchi haina hata diesel ya kuendeshea magari machache yaliokuwepo, seuse ya kuendesha viwanda. Kaacha watu, majority, hawana elimu hawana matibabu, hawana hata kanda mbili za kuvaa kwendea chooni.

Hiyo ndio legacy? Au yote hayo hukuyaona kama ulikuwepo?

Siku si nyingi hutaweza kuongea upupu kama huu. Umelewa vijipesa vya walafi ndani ya CCM, na unafikiri unaweza kutukana unavyotaka.
Amini nakwambia, ukombozi u karibu, na hutakaa uamini maana umejawa kiburi cha madaraka na kujuana.
 
Kama huna hoja, kaa kimya, si lazima uijibu kila post.
 
hana mpinzani ,,,,,,,,,,,wanaobisha hawana hata nafasi ya ya kumchalenge.................hivi katika uongozi.... nani anamzidi kwa kufufua uchumi/kuujenga nchi ilikua haina hata chuo kilichokupa we elimu kumuona hafai,............hakuna techinologia lakini tuna madini angeuza enzi hizo kama hawa walivyofanya ungekuta unavua vyura kule mwadui,geita na nzega,,,,,,,.............subiri baada ya miaka kadhaaa wajukuu au watoto wetu watashuhudia mashimo /mabwawa itakua nchi ya utallii watu watakuja kutalii mahali zilipokuwa dhahabu na alimas

Wewe unaujuwa uchumi ulivyokuwa wakati wa Nyerere au unajisemea tu?
 
Nia yangu ilikuwa ujumbe ufike. Ujumbe umefika. Asante kwa kunielewa na pole kwa kuogopa kukiri hadharani. Gloria in excelsis Deo!!

Kuna ujumbe kutoka kwako au upupu?
 
Ikiwa watu hawahawa wanaomuona Mbowe ni kiongozi ilhali hana kabisa maadili kwa kuendesha danguro la kujiuza wanawake kwa wanaume na wakamuona Slaa kiongozi ingawa anakwapuwa mke wa mtu, nina uhakika ni haohao wanao muona Nyerere wa maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom