Huyu Hakimu, Mmmh!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Wapendwa Wanasheria,
Nilikuwa nafuatilia Hukumu ya Mahakama ya Rufaa [NGUZA VIKINGS @ BABU SEYA, JOHNSON, NGUZA @ PAPII KOCHA, NGUZA MBANGU, FRANCIS NGUZA Versus THE REPUBLIC, CRIMINAL APPEAL NO. 56 OF 2005, (Unreported)] remarks ambazo zimetolewa na Wakili wa Utetezi kwenye rufaa hiyo kama ifuatavyo:
The trial magistrate was particularly attacked for the style adopted in writing the judgment. The judgment, Mr. Marando said, makes undeserving remarks on the defence witnesses, hence suggesting that the trial magistrate was biased and had formed her own opinion about the case.
Kwa upande wa Majaji walitoa remarks kama ifuatavyo:
For this reason we emphasise the importance of avoiding making remarks in the judgment which do not reflect impartiality. In this case, we agree with the learned counsel for the appellants that the remarks made by the trial magistrate were unwarranted under the circumstances, more so because they were one sided.
Story haijaishia hapo tu huyu Hakimu ali-cite kesi kwenye Hukumu ambayo nimeifuatilia haipo! Kesi hii aliyoi-cite ni FUNDI OMARI v. R [1972] HCD 98. Kwenye HCD kesi namba 98 ni Madege v. R. Crim. App. 565-D-71; 18/2/72! Huyu Hakimu anaitwa Addy Lyamuya. Ukisoma Hukumu ya Criminal Case No. 555 ya mwaka 2003 ya Mahakama ya Kisutu aliyoitoa yeye inachanganya kweli, haina mtiririko wa kueleweka! Mna maoni gani Learned Brothers and Sisters, au hayo ni makosa ya kawaida tu kwa profession ya Sheria na yanaweza kuwa curable kama walivyosema Majaji kwenye Quotation hapa chini?
But as the learned Principal State Attorney said, the defect is curable under section 388 of the Criminal Procedure Act.
 
Hivi huyu hakimu si alipandishwa cheo na kuwa registrator (deputy) wa high court hivi majuzi?
 
Addy Lyamuya.....huyu ni kimeo ktk mfumo wa sheria hapa nyumbani, hukumu zake nyingi zinawaachaga watu vinywa wazi, ni mtata kuliko sheria yenyewe, ni mtu ambae kipindi chake chote pale Kisutu amethibitika kuwa ni hakimu wa hovyo sana.
yuko wapi siku hizi.....?
 
Wapendwa Wanasheria,
Nilikuwa nafuatilia Hukumu ya Mahakama ya Rufaa [NGUZA VIKINGS @ BABU SEYA, JOHNSON, NGUZA @ PAPII KOCHA, NGUZA MBANGU, FRANCIS NGUZA Versus THE REPUBLIC, CRIMINAL APPEAL NO. 56 OF 2005, (Unreported)] remarks ambazo zimetolewa na Wakili wa Utetezi kwenye rufaa hiyo kama ifuatavyo:

Kwa upande wa Majaji walitoa remarks kama ifuatavyo:
Story haijaishia hapo tu huyu Hakimu ali-cite kesi kwenye Hukumu ambayo nimeifuatilia haipo! Kesi hii aliyoi-cite ni FUNDI OMARI v. R [1972] HCD 98. Kwenye HCD kesi namba 98 ni Madege v. R. Crim. App. 565-D-71; 18/2/72! Huyu Hakimu anaitwa Addy Lyamuya. Ukisoma Hukumu ya Criminal Case No. 555 ya mwaka 2003 ya Mahakama ya Kisutu aliyoitoa yeye inachanganya kweli, haina mtiririko wa kueleweka! Mna maoni gani Learned Brothers and Sisters, au hayo ni makosa ya kawaida tu kwa profession ya Sheria na yanaweza kuwa curable kama walivyosema Majaji kwenye Quotation hapa chini?

Both wrong citation and non-citation of the law are incurable
 
Kwa sasa Lyamuya ni wakili anafanya kazi na kampuni moja hapo city centre.
 
Both wrong citation and non-citation of the law are incurable

Wrong citation and non-citation of the law havikuongelewa na majaji na advocate na haikuonekana kama irregularity, hiyo ilikuwa ni observation yangu tu. Samahani kama sijayaweka vizuri hayo hapo juu kwenye post #1. Hata hivyo nakubaliana na maoni yako!
 
Buchanan you are right,but what we are discussing here is the decision of the court of the first instance,of which its irregularity including non and wrong citation can not be left to stand even if the Justices of Appeal did not observe the same.
 
Sure!
 
Buchanan, mind that, wakati mwingine,hizi kesi zinapoteza mueleko Mahakamani kwa sababu zinakuwa assigned kwa Mahakimu au Majaji ambao ni Wanaharakati ambao ulicheki chembechembe za damu zao unakuta ni mtu mwenye "imotions" au huruka na hamaki ya kutaka lile analohisi au kulisimamia hata kama si la ukweli atataka kulilazimisha na kulipa msimamo hasi ulio kinyume na sheria na hapo ndipo tunasema "Mahakama imekiuka Sheria" na si "mshitakiwa". Hayo Mapungufu ya wazi kabisa ya utendaji wa mahakimu na Majaji na kutozingatia sheria, kwa kulinda heshima ya mahakama Majaji au Mahakimu wana halalisha kwa kuyaita " curable errors" . Kama msingi huo huo wa "incurable & curable errors" ungetumika katika kuangalia mashtaka ya mtuhumiwa, wengi leo wangekuwa huru!.

Kwa kesi ambazo mtiwa hatiani anakosa nafasi ya rufaa ni mbaya zaidi na hii ya Babu Seya inatufundisha wazi kabisa kuwa wapo wengi huko magerezani ambao hawana hatia hata chembe lakini wamehukumiwa na wanendelea kusota kwa sababu tu mahakimu wetu ni "wana harakati wa vikundi fulani vya kutetea haki" au kwa sababu ya visa na vijisababu na nia ya kukomoana kwenye mioyo ya wasimamizi wa haki....

Ona hapa, upungufu wa busara kwa Hakimu Mkuu wa Mhakkama ya Hakimu Mkazi umekuja kubainika kwenye Mahakama ya Juu kabisa (ya Rufaa) tena zaidi ya miaka mitano ya watiwa hatinai kuangaika kuahangaika kupigania haki zao!...

Uko Mahakama za Mwanzo ndo usiseme kabisa Mahakimu wanatumia "precedents" za hukumu walizotoa wenyewe ambazo ni utumbo kabisa. Unakumbuka kesi ya mbwa kutiwa hatiani kwa kuwa aliitwa "IMMIGRATION ???" ...pale ilikuwa ni huruka ya hakimu aliyesifika katika eneo husika na ambaye kitaaluma ya kazi alionekana ni mzoefu lakini mukichwa alikuwa mbumbumbu, hivyo kushindwa hata kutumia vizuri sheria ikiwemo kuuliza kwa wenzie!

Pengine hali hii imetokana na "Immunity" na "discretion" kubwa ambayo sheria zinawapa hawa watu wakiwa kazini!
 
Wapendwa Wanasheria,
Nilikuwa nafuatilia Hukumu ya Mahakama ya Rufaa [NGUZA VIKINGS @ BABU SEYA, JOHNSON, NGUZA @ PAPII KOCHA, NGUZA MBANGU, FRANCIS NGUZA Versus THE REPUBLIC, CRIMINAL APPEAL NO. 56 OF 2005, (Unreported)] remarks ambazo zimetolewa na Wakili wa Utetezi kwenye rufaa hiyo kama ifuatavyo:
Kwa upande wa Majaji walitoa remarks kama ifuatavyo:
Story haijaishia hapo tu huyu Hakimu ali-cite kesi kwenye Hukumu ambayo nimeifuatilia haipo! Kesi hii aliyoi-cite ni FUNDI OMARI v. R [1972] HCD 98. Kwenye HCD kesi namba 98 ni Madege v. R. Crim. App. 565-D-71; 18/2/72! Huyu Hakimu anaitwa Addy Lyamuya. Ukisoma Hukumu ya Criminal Case No. 555 ya mwaka 2003 ya Mahakama ya Kisutu aliyoitoa yeye inachanganya kweli, haina mtiririko wa kueleweka! Mna maoni gani Learned Brothers and Sisters, au hayo ni makosa ya kawaida tu kwa profession ya Sheria na yanaweza kuwa curable kama walivyosema Majaji kwenye Quotation hapa chini?
Jamani nisaidieni................KWANINI ENGINEER AKIFANYA VIBAYA KWENYE FIELD YAKE ANAWEZA AKAFUKUZWA KAZI MARA MOJA...?? (EG LOWASA ALISHAWAHI KUFANYA HIVYO). LAKINI DAKTARI AKIFANYA VISIVYO ANAACHWA TUUUU (MUHIMBILI WA KICHWA ALIPASULIWA MGUU NA WA MGUU ALIPASULIWA KICHWA)............ MWANASHERIA AKIFANYA HIVYO ANAANGALIWA TUUU.......... KESI YA AKINA BABU SEYA NA WANAWE............. WATU WAMEKAA GEREZANI ALMOST MIAKA SITA LAKINI ALIYEWAHUKUMU YUPO TUUU..........mi thielewi.......
 
MWANASHERIA AKIFANYA HIVYO ANAANGALIWA TUUU.......... KESI YA AKINA BABU SEYA NA WANAWE............. WATU WAMEKAA GEREZANI ALMOST MIAKA SITA LAKINI ALIYEWAHUKUMU YUPO TUUU..........mi thielewi.......

Kila fani na mambo yake ndugu. Hakimu/Jaji kama alitoa uamuzi/hukumu "bona fide" (ie in good faith) lakini mshtakiwa kama hajaridhika, remedy yake ni kukata rufaa. Utaratibu wa kukata rufaa utahakikisha kuwa haki inatendeka kwa kiasi kikubwa!
Kama Hakimu/Jaji ametoa uamuzi/hukumu baada ya kuhongwa au kama kuna fraud mshtakiwa anaweza kuomba mahakama imbadilishie hakimu/jaji au kuchukua hatua za kisheria dhidi yake (Rejea Kesi ya PM Jonathan, TLR 1980, sikumbuki vizuri citation yake lakini ipo kwenye hiyo TLR 1980).
 
Hivi tukianza kutumia mfumo wa USA wa kuwa na jury (a group of people empaneled to reach a verdict in a trial) wawe ni miongoni mwa watu ambao wanakubalika katika jamii kwa kutokuwa biased kama mapadre na masheikh na kufutilia mbali wazee wa baraza ambao ni njaa tupu. Kazi ya jaji au hakimu iwe kuendesha kesi na kusoma adhabu baada ya verdict kupitiwa naona italeta haki. Na kuzuia wanasiasa kui-abuse mahakama kwa kuwataka majaji/mahakimu kufanya wanavyotaka wao.

Nina hakika huyu mama alikuwa chini ya shinikizo wakati akitoa hukumu hii ya babu seya.
 
Learned Brothers and Sisters,
We are trained to be impartial and this is what we should do. While we want to blame the Magistrate lets not forget that the cvase was for the prosecution to prove the charges, which they did.

What the appeal court is saying is that Nguza Viking and sons are not the wrong does but rather the way the charges were framed was wrong.

so for those sons of the musicians who were left free its not that they were left free because they were innocent but rather because they were charged wrongly and hence were given the benefit of the doubt (the Curable and non curable defects discussion).

But i can assure you if the charges were amended and the other sons are brought in on new charges they will still go to jail (Lets not forget that time doesn't run against the Republic).

Back
Top Bottom