nakubaliana kabisa na mtoa thread hii, nakataa kabisa hoja ya kwamba kila mtangazaji anatoka ki vyake, mimi ni msomi wa mass media kwa sana, hakuna kitu kama hicho ndio maana huwezi kuona vituko kama hivi kwenye TV kubwa hata siku moja, ukisha ingia kwenye mass com identity yako sio kabila lako wala style yako, ni brand image ya chombo kile, tatizo huko kwao whatever the boss says goes, sasa kama kwa upeo wao wamemuona huyo mtu ni babu kubwa hakuna namna ya kumboresha, ndio maana hawatoki wanabaki hivyo hivyo milele mpaka wana retire na kurudi tena kuwa ma correspondence na kuishia kuomba omba vibahasha. Wamekubali ku fit kwenye systems zisizowajenga na sisi huku tunashabikia upumbavu huo. Ni kweli kwa huyo aliyesema tu switch off, I do switch off whenever the clown comes on air, na kweli na ndio maana Ze comedy wanamuiga maana anafanana nao, sasa kama kuna mtu anaona kutokea kwenye this pathetic comedy isiiyo rating yoyote popote ni babu kubwa basi na wabaki nae, yaani hata hao wakurya wenyewe wanamsikia kinyaaaaaaaaa. hebu kama anasoma huku ndani na asikie kama ndio kile kile kiburi chetu cha much know, nae pia sawa. Ni kweli tunaweza kuwa na issue na Rainford Masako lakini huwezi kumlinganisha na hichi kituko.