Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,524
Umezidi, hupendezwi naye badili channel; hujalazimishwa kumsikiliza.
Umezidi, hupendezwi naye badili channel; hujalazimishwa kumsikiliza.
Pigiga firimbi kama nimezidi. "This is where we dare to talk openly". Kila mtu ana mawazo yake na fikra zake.
angekuwa sio maarufu hata ze comedy wasingemuiga, hiyo ni staili yake mbona humsemei Alfedi Masako?
kila mtu na namna yake eya utangazaji wapo wakongwe kama david wakati, kina mbotela, fredi machokaa nk wanakubalika na utabulisho wao ni namna wanavotangaza.
yale yale ya mwanao anataka kuwa muimbaji au msanii unamzuia kisa wadhani ni uhuni kumbe kila mtu kazaliwa na kipaji
MURAAAAAAA PIGA KAZI BABA WENYE WIVU WAKAJINYONGE.
any way, kama fikra zako ndo hizi basi huna fikra.
Raha sana kuwa sina fikra. Inatosha wewe ukiwa nazo.
Namna ya utangazaji wako kwenye luninga unakera sana , hivi ni kwanini lazima uvute hayo maneno unapomalizia sentensi? ni mbwembwe au nini? hivi hujuwi kuwa Kiswahili kikiongewa au kutumika kutangaza kama kilivyo kina ladha yake zaidi yakukigeuza na kuvuta maneno bila sababu yoyote?
Awali nilikuwa nikifikiri labda una lafdhi (accent) ya lugha fulani ya Tanzania na huna budi na kila unapoendelea kutangaza kwa Kiswahili utabadilika kwa ku "improve" lakini baada ya kukusikiliza kwa muda mrefu sasa, naona unazidi. Sijui ni nani alikusifia kuwa kwa kuongezea kuvuta sauti ya matamshi ya kila neno la mwisho la sentensi ni utangazaji mzuri? aliyekusifia anakudanganya, tangaza kwa kutamka maneno kiufasaha na kama kawaida ya Kiswahili utafanya vizuri zaidi. Tafadhali badilika.
good one ... next time do some little respect to what they do and who they chose to be. I mean mind your own business
We MAMA UPO KWENYE POSE LA TEETH nini???
Nikiwatangaziaa kutoka Gerezaniiiiiiiiiiiiiii, mimi niiiiiii Faizaaaaa Foxyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.Nipo kwenye Serengeti za bardiiii.
Nikiwatangaziaa kutoka Gerezaniiiiiiiiiiiiiii, mimi niiiiiii Faizaaaaa Foxyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.