Huyu George Maratu wa ITV style yake ya utangazaji ikoje?

Maskini watanzania unafiki unawamaliza hata pale pasipohitaji akili, hakuna viwango, hakuna shule, hakuna exposure tunadanganyana, hivi ni nani keti yenu anayemsikiliza huyu juha, na kama mkweli kuna habari yoyote aliyoiripoti zikiwemo zile za mauaji ya wachimbaji wadogo unayoweza kujidanganya kuwa unaikumbuka? hana mvutu wowote ukilinganisha na elimu zetu ndogo za eneo hili you can just imagine, hivi kweli huyu bwana ana add any value? ni a mere ripota hicho anachoonge kingeweza kuwa na maana yoyote kwa msikilizaji hata kama kingekuwa nkina ripotiwa tu na polisi wa kanda au mtendaji kata, hata hapo kwako hakuna class ni vile tu maskini hawana comparison na hawasomi wala hawana exposure. Eti CNN ha ha watanzania bwana hivi kweli mnaweza? angekua bomba angalau tungesikia basi kachukuliwa na K24 au KBC hata hao jirani zake hawajakiona hicho mnachokiona nyie? uzuri mimi namsikia tu mkimuongea hapo maana sina utahira wa kumsikiliza, na sasa anatafuta u DC ndio mtaharisha kabisa
 
Namkubali saaaana huyu George Maratu ni mbunifu sana kusudi uweze kutoka fanya tofauti na wenzako huoni mpaka sasa mnamdiscuss yule jembe
 
Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa siridhishwi na usawa wa kuripoti habari kwa mwandishi wenu huyu kutoka Mara hadi kupelekea kuwauliza swali hili; Hivi George Marato ni mwandishi wa kujitegemea au ameajiliwa na IPP? Kwa sababu sijawahi kumuona anaripoti mikutano ya kisiasa ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Tafadhali naombeni jibu.
 
Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa siridhishwi na usawa wa kuripoti habari kwa mwandishi wenu huyu kutoka Mara hadi kupelekea kuwauliza swali hili hivi George Marato ni mwandishi wa kujitegemea au ameajiliwa na IPP.kwa sababu sijawahi kumuona anaripoti mikutano ya kisiasa ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Tafadhali naombeni jibu.

Ni correspondent, 99% ya reporters wa mikoani hawajaariwa, wanalipwa kwa story 1 buku ten! na mnazi wa chama tawala, kuna kipindi alikua kwenye mchakato wa udiwani, any other question??
 
Back
Top Bottom