Huyu dogo kweli hajatulia

Lady N

JF-Expert Member
Nov 1, 2009
1,914
131
Mtoto kamuuliza Mama yake: "Mama wewe unatumia Voda na Baba Zantel, mbona usiku nilisikia Baba anakuomba Tigo ukamwambia asugue taratibu, nani ana Line Mbili?!"
 
mama itakuwa simu yake ya line mbili na zote zipo hewani. Yaani atakuwa anatwangwa kote kote nchi nzima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom