huyu demu sasa...!

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
jamani niko na ndugu yangu mmoja tulipotezana mda mrefu sana tulikua ni marafiki wa karibu sana wa kushare siri...! to make the long story short ni kwamba tumekuja kukutana mda sio mrefu uliopita..! jamaa akaniambia kua anampango wa kuoa na akanitambulisha kwa mchumba wake..! sasa juzi hapa kanifata ananiomba ushauri huku analia..! ananiambia kua amekuja kugundua kuwa mchumba wake anatoka na dingi yake..! yani yule demu anamegwa na baba yake mzazi..! jamaa anasema alikua anasikia tu ila amekuja kuprove kua ni kweli..!...! hebu niambieni jamani nimwambieje mchizi..? hivi sio kwamba ni laana ukioa msichana alie kua anatembea na ndugu au mzazi wake..?
 
Hao wakimbiza mwenge wa kwenye rig siku hizi mnaoa? Tena spidi ya rab si unaijua wewe?
 
hyo ni sodoma na gomola kama anaweza atafute mwingine mbn wapo wengi hao hawataachana kama wameanza kitambo mchezo wao na akioa baba anaweka mimba alaf unabambikiwa
 
Hao wakimbiza mwenge wa kwenye rig siku hizi mnaoa? Tena spidi ya rab si unaijua wewe?

tena jamaa ni rigger wa ukweli..! kwani sisi hatuna nanii ya kutolea mtoto..!? asee kongosho nimwambieje.. jamaa amemfia sana binti
 
hyo ni sodoma na gomola kama anaweza atafute mwingine mbn wapo wengi hao hawataachana kama wameanza kitambo mchezo wao na akioa baba anaweka mimba alaf unabambikiwa

we acha tu..! sasa ndio hapooo..! kumwambia mwana mteme huyu mtoto..! mh..!
 
Ampime ngome ajue kama ameisha ambukizwa na digi,,kisha ambwage.

akijua si ndio itauma sana..!? asee haya mambo..! unajua kakajambazi unaweza ukaua wewe kama watu tu wasio na matatizo unawaibia je hapa si unaweza kuua kabisa..?
 
Muambie hiviii
'Advice is what u ask for when u know exactly what u shld do and u don't want to'
Huyo akishamuoa anaanza kutoka na mama yake, ndo atajua maharage ni mboga ya serikali.
 
Muambie hiviii
'Advice is what u ask for when u know exactly what u shld do and u don't want to'
Huyo akishamuoa anaanza kutoka na mama yake, ndo atajua maharage ni mboga ya serikali.

teh teh teh teh teh hahahaa....! demu kamwaga mboga... jamaa nae amwage ugali sio.....! hahaaaa! ila dah nyie mngemuona jamaa msingesema hivi..!!!
 
maana ya kulia kwa mchizi ni kwamba kuna true love kutoka kwa mchizi wangu kwenda kwa demu..! dah mtihani huo..!

Mwambie aachane naye, kwani mwanamke akija kuomba ruhusa kwenda kwao kusalimia itakuwaje? na je akija tembelewa na baba mkwe atajisikiaje? mwambie atafute mwanamke mwingine.
 
Mwambie aachane naye, kwani mwanamke akija kuomba ruhusa kwenda kwao kusalimia itakuwaje? na je akija tembelewa na baba mkwe atajisikiaje? mwambie atafute mwanamke mwingine.

good idea mzeeeiya..@!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom