Huyu Demu nimwambie nini ili anielewe?

Mkuu hapa unauliza kitu gani???!!!!!!!, au na wewe unamtaka?????........hii imekaa ki-sitaki nataka zaidi lol. Kama humtaki mtu mwambie humtaki period. Mbona ishu zingine ni rahisi sana
 
Huna hata haja ya kumtafuta mumewe. Utaleta makubwa, jamaa atakuwa na hakika gani kuwa hujala ngoma yake! Na wanaume wakiliwa ngoma zao wana kua wakali kama chui! wewe mpotezeeee... usijibu sms zake, akipiga ukijua ni yeye kata simu, akijifanya anataka kukimbia kwa mumewe wewe nyamaza, usimjibu kitu. SILENCE IS A TRETAMENT FOR A FOOL!

lakini kaka yangu hebu sema ukweli, au ulikuwa unazama chumvini !!!!! kulikoni!
 
:A S 103::dance::A S 103:

Acha sitaki nataka

Ni mbaya kimwli na kiroho pia
 
Mawazo mazuri sana mmenipa wana JF. I appreciate this is a Great Thinkers forum. Kwa sasa nimempotezea kabisa na kwa kua natumia simu ya Samsung nime mblock sms zake haziingii kabisa kwangu ila za watu wengine zinaingia, pia hata akipiga nimemuwekea call reject hanipati.
Nilichogundua anajifanya ananipenda ni kwa sababu ya pesa. before nilivyokua nafanya kazi ya ualimu na nikiwa chuo aliamua kunipotezea na akaamua kua na huyo jamaa ambaye ni mfanyakazi wa halmashauri, by that time alionekana ana hela sana kuliko mie. Sasa nafanya kazi kwenye International NGO na nalipwa salary 6 times ya huyo jamaa per month ndo anajifanya alikua ananipenda tokea siku nyingi.
 
Dah, mapenzi ya kufuata mapesa mabaya sana. So kwa maana ingine hata ww ukimchukua, ukiishiwa atakutoroka? He he he...hatari hi.
 
Mkuu kula hiyo kitu uongeze heshima,watoto wa siku hizi hawatombwi vizuri,watu wanaparamia tu...mkune huyo tena vizuri
 
We kaka na mhangaza wako ni wanafiki wote. kama alikuacha wewe ulikubali mawasiliano kwa nini? Hivi jamani ki ukweli mtu kakuacha kwa style hiyo wewe unamkaribisha kwa misingi ipi? unajua mimi siwezi unafiki wa hivyo? Na kitu gani kilikufanya umwambie kwamba umehamia karibu na yeye?

Wewe kama siyo mnafiki, PM mtu yeyoyte humu ndani na namba ya simu ya simu ya huyo nyoka anayetaka kukuharibia maisha yako uone watu watakavyompa vidonge vyake akakuona kama DIMON in her life. La sivyo endelea na uanfiki wako ili siku hiyo mume wake akutokee uone cha moto.
 
kupenda kuko moyoni huwezi zuia,ninachokiona huyu mwanamke hakufai ht kidogo,kwanini hakukusubiri km anakupenda?we hufikirii hilo?kilichotokea ni kwamba ameenda huko akaona mambo ni mazito ndomana anataka aje kwako akijua atapata faraja,asikuzingue kabisa mpe kubwa na mchenjie kua asikuzoee kabisa,we ni wakiume hujui kua na msimamo na mkwara huna wewe?hebu kua mtu mzima kijana angu,mademu wako wengi sn utapata mzuri ht km ulie nae hujampenda,kikubwa akuheshimu na akutunzie ipasavyo,pia usikurupuke ktk suala la kuoa utakuja lia kaka
 
Mkuu kula hiyo kitu uongeze heshima,watoto wa siku hizi hawatombwi vizuri,watu wanaparamia tu...mkune huyo tena vizuri

Nakuunga mkono mkuu hasa kw hako kajineno ulikoka2pia hapo kati .....we nijacsir mkuu!! nimekugongea.
 
Hapa hakuna cha kupenda wala nini! Apende mara ngapi wakati tayari ana mume tena wa ndoa? Sema shida yake anataka tu kukuharibia maisha yako. Hapa cha kufanya tafuta mawasiliano ya mmewe uweke mambo hadharani nina imani hatarudia tena. Kama ataendelea basi huyo dada atakuwa anasumbuliwa na pepo la ngono.
 
Cha msingi ni kumpotezea huyo hafai ungekuwa umemkaa moyoni asingeolewa angekuwa na subira huyo kicheche hafai kama vp mpotezee ukizingatia hata tunda haujala kwa hiyo unawezi ukamsahau kabisa
 
Kuna kitu anataka kwako huyo mdada, kwani huwa unamsaidia shida za hapa na pale? maana anaweza akawa anaona maisha yanamgonga kule anatafuta kislope
 
Nashukuru sana kwa mawazo yenu wana JF. ushauri wenu nimeanza kuufanyia kazi saizi naona matokeo ni mazuri yanaridhisha
 
Huyo ana pepo, ni mgumu kuelewa. Livue hilo gamba kabla hujavuliwa wewe. Kama kweli huwa unamwambia kwa uso wa mbuzi na hakuelewi mchomekee, na epuka kabisa kuonana naye.
 
Back
Top Bottom