huyu dada vipi,siriaz nisaidieni jamani

kuna binti nasoma nae ameachana na BF wake nami i had mine ila pia tumeachana,kimsingi nime mwa proach na hakika nataka tuowane for life yaani namaanisha,ila kasema haiwezekani,reasons behind ETI anadai mi handsome sana in such a way siwezi pata wa kufanana nae,kwa hapa tulipo,ananitumia love sms,na ananiletea dinner wakati nipo busy so sielewi,what she mean,pls yeye anadai mi handsome sio mm nasema,Lizz pls ur comment na wengine pia.
 
duh...karibu sana mkuu handsome...vipi za kumaliza pepa mh waziri...hatuendi tena south? u looks genious...
 
Rose1980 taratibu utamkimbiza humu abadilishe mpaka na ID maana umemua kabisa hapa Ndo maana nikasema hii design ya kujiboost kuwa yeye ni handsome anaitoa wapi maana mwanaume kujisema wazi kuw ami ni handsome design inashtua
kuweni makini,msiropoke hovyo
 
Hahahaaaa,hawa watoto wa siku hizi wallah hasara, ni heri ya TEJA!
 
there is some thing i learn here,most of guys are too arrogant,wepesi wa kuamua wazito wa kufanya maamuzi,ooo handsome,oo kiingereza,ooo minister,so kama ni kweli nifanyeje??Andamaneni kama wapuuzi wenzenu wa chadema,nonsense,Lizz tupo pamoja sina shida nawe,
 
Unapashwa kuwa na uhakika kwa hayo maneno unayosema , kwani suala la kuoa sio jambo la mchezo ,elewa kua hata huyo binti anataka kukupima kama umemaanisha au la'' japokuwa anakupenda , lakini nakushauri kama umedhamilia kuoa kweli fuata taratibu zinazotakiwa ,ili ujenge heshima kwake na aelewe kinachoendelea ni rahisi kufikia malengo uliyokusudia, lakini kama utaishia kumwambia yeye tu biila kuchukua hatua za makusudi ndoto yako haitatimia na mwisho wake mtabaki kutupiana mpira wa lawama wa kupotezeana muda'' kama kijana uliyelelewa katika maadili mema tumia njia sahihi na pata muda wa kumchunguza tabia yake kabla hujafikia maamuzi hayo mazito''
 
why lakini,hakuna mtu wa busara kama LIzz???mbona wengi mnaropoka??senetor,sangara,Lizz ebu niteteeni jamani,am fed up,they are too arrogant,why??
 
Sasa wewe unahangaika nini na wasiokufaa?!Embu njoo kwangu...!
lizz wananikera,am new,why guys are too arrogant??kwani mtu ukiwa HB tabu??minister tabu??south Afrina taabu,washamba sana na kila siku ntapambana nao
 
hahaha hendisamu bwoî. . Kwanza upo chuo sijui shule unauhakika gani wa kuwa nae for life? Pili kaa chini usome upate 1st class(cjui mahendisamu bwooi wanapataga hii) ukatafte ajira/ujiajiri kitaa ndo uparamie mapenzi, la ukiishia kushinda kwenye kioo kujiangalia how hendisam u r utasup!
 
lizz wananikera,am new,why guys are too arrogant??kwani mtu ukiwa HB tabu??minister tabu??south Afrina taabu,washamba sana na kila siku ntapambana nao
bora umwambie hajui umetia heshima kwa kwenda sauzi kwikwi sorry jama nimerukia treni kwa mbele mmh
 
Back
Top Bottom