Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,968
Sijui alikuwa anafikiria nini, isikute hata msichana wake anamwambiaga"mimi handsome bwana"Duh, nimefurahia wachangiaji maana tumeweza kumsoma vizuri kijana wa UDOM hata kwa maelezo mafupi aliyotoa. Yaani angeendelea kuandika tungeweza kumake conclusion kabisa bahati nzuri ameamua kukaa kimya. lakini nafikiri ameweza kujifunza vya kutosha na atabadilika...concl: mwanaume hata siku moja hasifiwi/kujisifu kwa sura.. acha utoto badilika...safari moja tu ya SA unaanza kujifagilia kwa madem wako siyo issue you will always loose them.