huyu dada vipi,siriaz nisaidieni jamani

Masaki taratibu mkuu maana jamaa bado mgeni na ndo kaingia inawezekana ikawa post yake ya kwanza.

Ni vizuri kumfungua macho mkuu. Maana asije kuanza kulalamika mtaani ajira hakuna, kwanini wanaajiriwa Wakenya (na siku hizi kuna Wafilipino pia wamevamia soko la ajira). Kumbe masikini ya Mungu barua zake hazina mvuto kwa mwajiri mtarajiwa na hivyo kushindwa kuitwa hata kwenye usaili.
 
Masaki ukisoma hapo juu mwanzo mwisho hupati picha jamaa anasema nini
Maana hizo south africa sijui state house sijui Minister duh sipati picha huyo dem alivyokuwa anamchoka mshkaji
 
kiukweli nimemaliza udom kuna binti nilimwa proach akasema hapana,kisa anadai mi ni handsome sana so siwezi pata wa type yangu hapa chuo,kimsingi i luks attractive even ma rummate tells me,i was student minister in government i went south Africa under sponsorship of state house na anajua it gives me popularity at college much,but simwelewi kabisa ana sms love text like my love,etc ananiletea fud rum,but simwelewi totally,tumemaliza chuo na ndo anasisitiza hivo,ila alikuwa na BF wake wakaachana nami i had mine tukaachana tena kwa amani kabisa,na anajua na they ar some how friend,it is ma first time kuja hapa pls walio siriaz na hili air out ur views,pls am so so in need of her in future,na am single,

if this is one of our national universities products, then we are in a deeper crisis than CCM

Lord have mercy!!!
 
Ni vizuri kumfungua macho mkuu. Maana asije kuanza kulalamika mtaani ajira hakuna, kwanini wanaajiriwa Wakenya (na siku hizi kuna Wafilipino pia wamevamia soko la ajira). Kumbe masikini ya Mungu barua zake hazina mvuto kwa mwajiri mtarajiwa na hivyo kushindwa kuitwa hata kwenye usaili.

ni kweli kwenye barua anaweza kuweka 'I m Atractive tanzanian'
 
Masaki ukisoma hapo juu mwanzo mwisho hupati picha jamaa anasema nini
Maana hizo south africa sijui state house sijui Minister duh sipati picha huyo dem alivyokuwa anamchoka mshkaji

Hautaelewa hata moja maana ni mchanganyiko maalum
 
Masaki ukisoma hapo juu mwanzo mwisho hupati picha jamaa anasema nini
Maana hizo south africa sijui state house sijui Minister duh sipati picha huyo dem alivyokuwa anamchoka mshkaji

Wewe acha tu, ila kama ulivyosema tusimshambulie sana. Siku hizi watoto wanaanza shule wakiwa wadogo sana na pengine mshkaji kamaliza Chuo akiwa bado mdogo sana. Akikua ataacha!
 
Wewe acha tu, ila kama ulivyosema tusimshambulie sana. Siku hizi watoto wanaanza shule wakiwa wadogo sana na pengine mshkaji kamaliza Chuo akiwa bado mdogo sana. Akikua ataacha!

Masaki hao wanaoanza shule wakiwa na umri mdogo kaka ndio wenyewe maana vichwa vinakamata kabla hawajasongwa na mambo ya humu duniani. Sema juu jamaa majigambo mengi mpaka anapoteza ladha ya kile anachotaka kusema na mwanamke hapendi hayo anapenda mwanaume straight to the point na mambo yetu yale sio unakaa unajisifu mie handsome nimeenda South Africa sijui state wananisponsor elimu yangu yote ya nini bana
 
ni kweli kwenye barua anaweza kuweka 'I m Atractive tanzanian'
mkuu nimeshtushwa sana na hiyo university product

hakyanani sijui alivukaje kote huko

ni bora angeandika kiswahili tu....

yaani hata mentality yake imenipa shoko!! wahaya tunasema yaani kajamaa kamenipa shoko'
 
Mkuu MTM hapo hajaandika barua ya kuomba kazi sasa kama hutaona vituko vya mwaka
Human Resources Manager wana kazi kubwa sana ya kusoma na kuwasikiliza watu kama hawa
 
seriously, nimeshtushwa

Mr. Handsome has a lot to learn aisee

MTM a lot to learn in life and love
Na asipokuwa makini dunia itampotezea mapema sana
Kusema kuwa ulipata sponsor sijui uliwahi kuwa Minister kwenye serikali ya wanafunzi kwenye ulimwengu huu wa ushindani sidhani kama ina cha kufanya na real life tunayopambana nayo
Life is a real challenge and we have to struggle kuhakikisha kuwa mambo yanakuwa sawa kama huna pa kushika kwenye ulimwengu bora uwe na kitu kichwani bila hivyo utabakia na vyeti mkononi unazunguka kila ofisi
 
if this is one of our national universities products, then we are in a deeper crisis than CCM

Lord have mercy!!!

ni kweli kwenye barua anaweza kuweka 'I m Atractive tanzanian'

I am attractive Tanzanian ,very handsome guy aged 25 years old

mkuu nimeshtushwa sana na hiyo university product

hakyanani sijui alivukaje kote huko

ni bora angeandika kiswahili tu....

yaani hata mentality yake imenipa shoko!! wahaya tunasema yaani kajamaa kamenipa shoko'

seriously, nimeshtushwa

Mr. Handsome has a lot to learn aisee
Nyie watu nimecheka mpaka basi lol!!!
 
Duh, nimefurahia wachangiaji maana tumeweza kumsoma vizuri kijana wa UDOM hata kwa maelezo mafupi aliyotoa. Yaani angeendelea kuandika tungeweza kumake conclusion kabisa bahati nzuri ameamua kukaa kimya. lakini nafikiri ameweza kujifunza vya kutosha na atabadilika...concl: mwanaume hata siku moja hasifiwi/kujisifu kwa sura.. acha utoto badilika...safari moja tu ya SA unaanza kujifagilia kwa madem wako siyo issue you will always loose them.
 
Sijui kama kweli ni mwanafunzi wa UDOM huyu aisee

The Finest hata mimi nina wasi wasi inawezekana ni wale watu wa kujifagilia wa mtaani huko ameamua ajitwalie sifa ya kuwa yuko UDOM
Net yenyewe ya kuunga unga maana angekuwepo humu hata kujibu angejibu
 
teh teg teh eeeh! Umemmaliza kabisa,nafikiri harud tena hapa

Mkuu ukiandika CV yako namna hiyo yule Human Resources Manager unaweza shangaa anakuambia mkutane mahali jioni kama ni mwanaume
 
Back
Top Bottom