Huyu Dada Simuelewi.Nisaidieni JF...

Kama anakuonyesha hataki na wewe jifanye hutaki,usimuonyeshe tena kama una interest nae na usikubali kuwa kimvuli kama anavyokufanya huyo dada,maana wewe mwanaume enough kwa nini awe hivyo???eti bestfriend what the f***er............mpotezee tu na wanawake wapo wengi bana....
 
Muhubiri mie naona ebu jaribu kum-ignore huyu dada, muache akutafute wewe sasa manake ushajaribu sana. Inawezekana unampa attention sana sasa kapata kichwa anataka kujitesea
 
Its not easy as u suggest mkuu hayajakukuta haya labda!!

Mkuu hayawezi kunikuta hayo. Clinging on a woman for two years wakati alishakuambia she just wants to be friends? You need to be her first choice, not second. Mkuu soma alama za nyakati. move on.
 
Mkuu hiyo option naona nitajidhalilisha zaidi,ndiyo maana nimeileta hii inshu hapa JF.Naamini nitapata muafaka kwani kwani kuna wakulu tayari wameshachangia as if yalishawakuta au wanaijua inshu yangu from a-z!




Kujibu swali lako mkuu ni kweli ni karibu miaka miwili sasa namtongoza huyu manzi.Unajua kila manzi yuko tofauti na si wa kumwambia moja kwa moja kuwa nataka chezo.Mwenyewe kwa jinsi ninavyomuelewa ni wale mademu wa kwenda date halafu mambo mengine kama kwenda bed yatafuata naturally.Huwa ananiruhusu nimshike na nikiwa naye club kwa mfano huwa nabambia sana tu,na huwa ana behave kama demu wangu,isipokuwa hajawahi kuniruhusu kula mate hata siku moja,na hapa ndipo penye tatizo kwani kwa uzoefu wangu,nikishakulana mate na demu tu basi in the next few meetings lazima kitaeleweka!
Kuhusu maoni yako ya kumpotezea,nakubaliana nawe.Nimeamua kumsikilizia,akirudi tena anga zangu itakuwa ndiyo mara yangu ya mwisho kumfuatilia,na nitampa ukweli tu kwamba hata huo urafiki/ukaka siutaki tena,tusitafutane na kila mtu achukue time zake!


Nitajaribu kwa mara ya mwisho mkuu,akizingua safari hii sitamrudia tena!



Mkuu nimeshamuhubiria sana kuhusu uhusiano wa kudumu.Huwa anaonyesha interest kishenzi lakini mwishowe ataendelea na maneno yake yaleyale.



inawezekana ni shemale/maji mengi/haina shavu moja??nisaidie mbinu za kumchunguza mkuu hata kwa pm!



What ur saying can be true cos everybody got their own standards when choosing their second half.But if that is the case,why then she is doing me all these nonsense if im not all that for her?U meet ur brother while dressing up erotically?U write/talk to ur brother romantic and titillating words?She could just come out and tell me straight up that she doesnt like me and not giving me some hopes as she is doing.!She should be abnormal somewhere then for wasting her time acting like couple with somebody she doesnt like much and expecting at the same time to find her Mr.right,cos time is not going back and she is already 28 now!

Perception, perception, perception..............first of all flirting is not a crime.
Secondly , havent you noticed most of the time kama unampenda mtu, thout process inakuwaga na kiji-bias fulani??? Simple actions from the loved one can mean multitude, to u na kumbe sivyo.E. g Mwenzio is dressing up for a night out, wewe huku unadhani anavalia kukutega.

Anyways since you are the one who seems to be confused/hurt by this situation, why then not bring it up , instead of wasting away waiting for her to do so? Who knows, maybe...............................................
 
Kweli binadamu tumetofautiana. Miaka miwili huna jibu na bado upo upo tu?
 
Jaribu kuwa mtulivu na mweleze kwa utaratibu vile unavyowaza juu yake ..
Mpe maneno ambayo akiondoka kwenda zake hata kama amelala akishituka anawaza yale ulo mwambi,
Pia mwelezi ukweli kama huelewi msimamo wake ndo maana unajikuta umeanza mahusiano na kina dada wengine
Na umuhakikishie uko tayari kutulia endapo ombi lako atalikubali na uwe serious sio unaongea huku unacheka cheka
All the best
 
Kuna mdada mmoja,siyo mzuri sana lakini ni mrefu,mrembo na msomi na ni type yangu na binafsi namuona ni wife material.Nimempenda huyu dada.Yuko single.Ni muda mrefu namtongoza lakini kila mara huwa ananikatisha tamaa,kuwa pamoja na kuwa im a nice guy lakini hatatoka na mimi na ana enjoy company yangu kama rafiki/kaka.Huwa nikimuomba kutoka nae,Hakatai hata kidogo,na huwa anajiandaa sana kwa maana ya kujipodoa na kuvalia vizuri sana as if anakwenda kukutana na mpenzi wake na si rafiki/kaka kama anavyodai kunichukulia.Na huwa ana flirt sana tu,tunapokutana au kuongea kwenye simu au sms.

Kinachonishangaza zaidi(pamoja na maneno yake kuwa hawezi kuwa mpenzi wangu)akiniona au akisikia kuwa nina mpenzi huwa ananinunia na hataki kukutana na mimi tena.Alinifanyia hivi nilipokuwa natoka na msichana mwingine.Tulikuwa hatuwasiliani wala hatukutani.Alipopata habari kuwa nimeachana na huyu msichana (mwanzoni mwa mwezi uliopita)aliniandikia message ya kunijulia hali baada ya muda mrefu.Nilipopata message yake nilifurahi sana.Nikaamua kumfukuzia tena safari hii nikiwa na imani kubwa labda kitaeleweka.Nikamuomba,akakubali kama kawaida tukatoka.Tuliongea sana usiku ule,lakini nilipomkumbushia issue yangu ya kumtaka,alinichomolea katakata,na kama kawaida yake akidai kuwa ana enjoy tu company yangu kwavile ananichukulia kama rafiki/kaka.Sikukata tamaa japo deep down nilikasirika.Nikawa naendelea kukutana nae na kuwasiliana nae mara kwa mara.

Sasa wakuu ni juzi tu jumamosi,nikaamua kutoka na demu mwingine club moja hivi.Kama zali pale club na yeye alikuwepo na nikagongana naye macho kwa macho,akiniona na huyu demu mwingine.Akanikatia jicho kunionyesha kuwa amechukia.Jumapili niliamua kumpigia,lakini hakupokea.Jana jumatatu nikamuandikia message lakini mpaka sasa hakunijibu.

Wakuu kifupi nampenda huyu demu na kama angeingia kwenye line,nilitaka nioe kabisa.Tatizo simuelewi kama ni mgumu wa kuelewa somo,hanipendi,ni sitaki nataka,ananitega au vipi??
Sasa wakuu nisaidieni mawazo,nimfanyeje huyu manzi?
Nitaheshimu mawazo yenu wakuu,isipokuwa matusi na dhihaka zisizokuwa na maana.
Mara nyingi wanawake wa type hii wanakuwa na mambo yafuatayo;

  1. Ni kweli anakupenda, na anakuandaa uwe mume wake....
  2. Ana mpenzi wake anayemtungua kwa sasa, lakini bado hajapata sababu ya maana ya kumtema na anataka akufiche siri hiyo....
  3. Kuna jambo linalomsibu; mfano: kuna uhusiano aliowahi kuwa nao na sasa anajutia kupitia....
  4. Ameshafahamu fika kuwa unampenda, lakini kuna siri kubwa asingependa ufahamu maishani mwako....
  5. Wanawake wa type hii ni wasiri sana....
Nini cha kufanya;-

  1. Jaribu kumsimulia historia yako yote, hasa ya kimapenzi huku ukimuomba akupe yake..... utagundua maajabu ya wanawake....
  2. Convince her that the past will never change your mind and plans, but it will help you to handle you.....
  3. Muoneshe kuwa ungependa kujua historia yake kwa kuwa unamjali.... usiwe na haraka ya kuonesha reaction yoyote hadi uhakikishe umepewa historia yote... mfano; sio unaambiwa juu ya first lover, then unakuja juu... please come down and add some romantic feelings to her... she will explain all the past for at least an interval of one-two months.... Hapo utajua siri ya wanawake....
  4. Hayo yote yakikushinda, then better to have peace of mind na ukae mbali naye......
 
kuna watu wanamisimamo katika maisha yao!! nafikiri na huyo ni mmoja wa hao!! i like her!! kwanyie wanaume mnaopenda kuchapa na kulala mbele hiyo ndio dawa yenu!!

ongea nae vema!! na kama walivyosema wengine labda alishawahi kuumizwa kabla!!
 
Nadhani huyo bishosti ana-buy time wakati anasubiri Mr. Perfect atokee kwani haamini kama wewe ndio Mr. Perfect lakini hataki kukupoteza moja kwa moja kwasababu bado yupo insecure mpaka hapo atakapokuja Mr. Perfect. Jitahidi kuongeza kasi kuonyesha kuwa wewe ndio Mr. Perfect a.k.a main character wa tamthilia za ki-philipino/mexico.

Ukiamua kuachia ngazi ataendelea kusubiri ujio wa Mr perfect ambae kimtazamo wangu ha-exist au ameshachukuliwa, itafika mahali Mr perefect hayupo halafu biological clock ina-ring hapo ndipo atakuwa desperate na kutumia FiFS fisrt in fisrt served!

Ni mtazamo tu!
 
Inawezekana anakupenda tatizo hajiamini au hakuamini wewe kutokana tabia yako.
Pia inawezekana ana mpenzi na anashindwa kusitisha uhusiano wake ili awe na wewe ingawa moyo wake upo kwako.
Inawezekana pia anakusumbua sana ili aje ajigambe kuwa umemtolea jasho.
Labda anaenjoy tu kampan yako ya kirafiki kuliko kimapenzi na anashikwa na wivu unapokuwa na msichana mwingine kwasababu anajua urafiki wenu utaisha.
Nakushauri ukubali anavyotaka yeye, usimlazimishe akukubali baadae uje ujutie.
Mpe nafasi na usigusie habari za mapenzi tena. Kama anakupenda ipo siku atajileta mwenyewe.
 
1.Ukimtaka mtu kuwa mpenzi akakukataa laziama awe na sababu,je anakwambia why hawezi kuwa na wewe au ana mtu?

2.Inawezeka yupo kwenye research juu yako kabla hajatoa uamuzi wa mwisho so just hold on usiwe na haraka.

3.Jifanye kama huna time nae usiwe karibu nae hivyo, kama ni wako kweli atarudi tu.
 
Thank you JF,thank you,thank u(za ki Obama!).Nina furaha kuwafahamisha kwamba yule mdada aliyenisumbua sana,sasa yuko mikononi.I appreciate your contributions guys,some really helped me,i mean nimefanikiwa kumpata na kama mambo yatakwenda vizuri natarajia kumvisha pete ya uchumba baada ya miezi michache kuanzia sasa.Bado tunaendeleana kujuana lakini mambo yote mswano na hivi ninavyoandika niko nae hapa.
Nawasihi muendelee kuwasaidia na wengine waliokwama kwenye mahusiano
 
Thank you JF,thank you,thank u(za ki Obama!).Nina furaha kuwafahamisha kwamba yule mdada aliyenisumbua sana,sasa yuko mikononi.I appreciate your contributions guys,some really helped me,i mean nimefanikiwa kumpata na kama mambo yatakwenda vizuri natarajia kumvisha pete ya uchumba baada ya miezi michache kuanzia sasa.Bado tunaendeleana kujuana lakini mambo yote mswano na hivi ninavyoandika niko nae hapa.
Nawasihi muendelee kuwasaidia na wengine waliokwama kwenye mahusiano

Hongera sana Mhubiri, ila mimi nina swali if you dont mind. Did she ever tell you the reason behind her hot/cold/hot behaviour? Au ndio ulikuwa mtihani?
 
No offense, but Could it be maybe you are her Plan B :wink2:???

She is holding out, hoping to meet and/or get with Mr plan A, lakini mean while is hanging onto you just in case Plan A doesnt materialize!?


Exactly Nemo. This is the answer.
Brother Mhubiri wa style hio mi nlishakutana nae na alinipotezea muda kishenzi, hoping for the best while she was keeping me as Plan B. Niliamua kumove on, too bad she is still single and looking for that Mr.Plan A, kaishia kwenye ma dating site sikuiz mana umri umemtupa.

Ushauri: Confirm kama kweli anakukeep as Plan B, if so move on.
Never allow someone to be your priority while allowing yourself to be their option
 
Hongera sana Mhubiri, ila mimi nina swali if you dont mind. Did she ever tell you the reason behind her hot/cold/hot behaviour? Au ndio ulikuwa mtihani?


Nemo,yes i dont mind to answer your qtn except that i wont disclose all the details here,as i have learned a very good lesson that JF is viewed by a lot of people and all over the World na once u put ur sensitive issue on here,u need to exercise caution in the first place cos u might end up getting what u didnt expect!

Ni long story,na ndiyo maana kwenye my last post nimeanza kwa kuishukuru JF.Why?cos JF ndiyo hasa imenifanya nimpate huyu binti.Yeye(wife mtarajiwa!),alikuwa anapita hapa JF lakini mara chache sana.Hivyo nilipoanzisha hii thread,niliamini kuwa hatoisoma.Kumbe kuna rafiki yake mmoja huwa anasoma sana JF na pasipo mimi kufahamu,alishawahi kumuhadithia habari zangu zote.Sasa huyu rafiki yake alipoiona hii thread,akaanza ku connect dots.Alipoona inafananafanana na hadithi yetu,akaamua amtonye rafiki yake kuwa kuna thread imeanzishwa hapa JF na mkaka mmoja,na anahisi kuwa naweza kuwa mimi,hivyo aje JF aone kama ni yeye anajadiliwa.
Basi wakaelekezana jinsi ya kuipata hii thread,manake ilikuwa ni kama mwishoni mwa March au mwanzoni mwa April.Alipoipata na kusoma niliyoandika na mliyochangia,alifurahi sana,japo kuna mengine niliyoandika yalimuudhi.Anasema baada ya kunisoma,ndipo alipoamini kuwa kweli nampenda na yote niliyokuwa namwambia nilikuwa namaanisha.

Aliamua kunipigia simu.Kama unakumbuka mara ya mwisho aliniona na demu club,alichukia na nilipompigia simu na kum text,hakupokea wala kujibu messages zangu.Nilishtuka sana nilipoona jina lake wakati simu inaita.Nilipopokea;hakunisalimia wala kunijulia hali,akaanza kunishambulia kwa maneno kibao,kuwa namchoresha JF.Nilipotaka kujitetea,akanikatisha.Akasema she was so angry and disappointed with me,na we needed to talk in person cos kwenye simu ningezidi kumtia hasira.Duh Nilichanganyikiwa!Nikamuomba kwavile ilikuwa urgency basi tukutane siku iliyofuata hata kama ilikuwa ni weekday.Akakubali.

Kawaida tukipanga kukutana,huwa nampitia.Lakini this time akasema yeye ndiye atanipitia.Nilishangaa kwavile alikuwa hapendi kuja kwangu.Mkulu sina hili wala lile mara mtoto swiiiii.Nachomoka nimpokeee,akanirukia kwa hugs na wet kisses za kufa mtu.Nemo huwezi amini mkuu,nilichanganyikiwa,nilidhani niko kwenye ndoto!Basi ukurasa mpya ukafunuliwa kuanzia hapo.

Kwanini alinizungusha na kunitesa?Anasema yeye ni victim wa mapenzi na imemjengea hofu sana na chuki kubwa kwa wanaume,as EX wake,ambaye anadai walipendana sana na kufikia kuchumbiana na hata kuanza maandalizi ya harusi,alikuja kumtosa wakati mfupi tu kabla ya ndoa.Anasema aliathirika kisaikolojia,alipata depression,alichanganyikiwa,alifikia hatua ya kuwachukia wanaume wote duniani,na aliamua kwamba mapenzi tena yeye basi.

Ujumbe kwa vijana wenzangu
:mvumilivu hula mbivu,ukitaka cha uvunguni sharti uiname na mambo mazuri hayahitaji haraka!
 
either of the two hakupendi ana mtu au kuna kitu anataka umueleze beyond kumtongoza
 
Mzee huyo demu naona kama mnatongoza kitoto vile, weka bayana mimi nakupenda ili uje kuwa mke wangu. Usinione nahangaika kwa sababu wewe (huyo demu) umekuwa kama mwavuli usiokunjuka katika mvua hiyo haunisaidii kukwepa kutolowa. Muulize kama ana mtu ambaye anakaba na anataka kumchukua, akikataa anzisha intensive relationshipi kisha uone. yaani kuwe na full commitment kwa kila mtu. Hii ya kutoka mara moja ni kama vile mawimbi ya radio yanavyoingia na kutoka kulingana na hali ya hewa na sehemu ulipo.

Mkuu kama kweli unampenda jieleze, kwa lugha ya kitaa "lia" mkuu hadi kieleweke.
 
Back
Top Bottom