Huyu dada nampenda sana.

Achana nae inaonyesha humpendi, muache nae atafute mwingine mwisho atazeeka akikusubiri kumbe huna taim nae. Tafuta ambae moyo wako utaridhika nae.
 
Katika vitu ambvyo ctakuja kufanya ni kumpotezea mwanamke muda wake na kumchezea/kumdanganya. Unajua kbc huyo binti unampa ahadi za uongo,hebu jiweke ww kwenye nafasi ya huyo mdada hopely utafanya maamuzi sahihi na km na ushaamua kutomuoa mwambie mapema.
umesema kweli mkuu.
 
umri ni nini wewe? kuna wengine umewazidi umri but wanaonekana watu wazima kupita wewe. halafu
ukitaka kuoa kweli angalia tabia ci baadhi ya viungo, kwani cku ukivikosa ni rahisi kusepa pembeni
mathalani anavyoongea. cku akibadilisha sauti basi utaanza kumtafuta wa sauti ilelile
 
Back
Top Bottom