Huyu dada nampenda sana.

Good boy

Member
May 20, 2011
42
2
Nina rafki yangu wa kike nampenda sana ila yeye kanipita miaka 2 ana miaka 28 sasa hv, kila cku huwa ananiuliza nitamuoa lini? Me najaribu kumpa sound cause ya umri wake, isingekua umri ungekuta nishamuoa, nataka kumtambulisha home ila najishtukia kuhusu age yake hiyo
 
Good boy:
So what you are saying is she too old for you to marry but otherwise perfect kutumika as girlfriend? Are you kidding me!!!!!?
Just know with this type of thinking,"....nataka kumtambulisha home ila najishtukia kuhusu age yake hiyo............"it seems like u are not old enough to marry anyone!!!!
 
Nina rafki yangu wa kike nampenda sana ila yeye kanipita miaka 2 ana miaka 28 sasa hv, kila cku huwa ananiuliza nitamuoa lini? Me najaribu kumpa sound cause ya umri wake, isingekua umri ungekuta nishamuoa, nataka kumtambulisha home ila najishtukia kuhusu age yake hiyo

Mind you: "Nampenda sana lakini umri mkubwa = Simpendi!" Kwa hiyo tafuta yule ambaye hutaweza kusema "Nampenda sana, lakini....................!"
 
Nina rafki yangu wa kike nampenda sana ila yeye kanipita miaka 2 ana miaka 28 sasa hv, kila cku huwa ananiuliza nitamuoa lini? Me najaribu kumpa sound cause ya umri wake, isingekua umri ungekuta nishamuoa, nataka kumtambulisha home ila najishtukia kuhusu age yake hiyo

Wewe bado ni mtoto mdogo - probably ukifikia umri wa kuoa utafanya maamuzi sahihi - UKIMWI UNAUA!
 
Nina rafki yangu wa kike nampenda sana ila yeye kanipita miaka 2 ana miaka 28 sasa hv, kila cku huwa ananiuliza nitamuoa lini? Me najaribu kumpa sound cause ya umri wake, isingekua umri ungekuta nishamuoa, nataka kumtambulisha home ila najishtukia kuhusu age yake hiyo

Unampenda kweli kutoka moyoni?
Kama kweli unampenda age si ishu kubwa na isitoshe miaka miwili sio mingi kusema kakuzidi sana na kama kweli mna mapenzi ya dhati oaneni
 
Sitakuita Playboy, lakini unaonyesha kuwa una tabia za kuchezea wasichana kwa kuwadanganya na ahadi fulani!
Acha utoto wewe..Kama humtaki mwambie aendelee kutafuta mahusiano mapya huko kuliko kumfanyia usharobaro na huku muda unamtupa mkono mwenzio.
At 28 kwa mimi namuona ni mtoto mbichi!..Shida ni kuwa wewe ni mtoto, lakini zaidi sana uko CHILDISH!
 
Perfect!!
 
Katika vitu ambvyo ctakuja kufanya ni kumpotezea mwanamke muda wake na kumchezea/kumdanganya. Unajua kbc huyo binti unampa ahadi za uongo,hebu jiweke ww kwenye nafasi ya huyo mdada hopely utafanya maamuzi sahihi na km na ushaamua kutomuoa mwambie mapema.
 
Suala la kutafuta Mwenza wa Maisha sio la kuomba ushauri kwa watu kwa sababu kila mtu ana vionjo na vigezo vyake; kumbuka ndoa haijaribiwi. Inaonekana una wasi wasi na Mtarajiwa wako. Katika kutafuta Mwenza, hupaswi kuwa na wasiwasi wowote naye, inatakiwa umwone ni yeye tu, ndio maana ya msemo "ukipenda , chongo huita kengeza". Sasa kwa kuwa wewe unaonyesha kutokuwa na uhakika kama unampenda, mwache usimpotezee muda ili ampate atakaye mpenda. Tafuta mwenye miaka 24 maana wewe una 26. LAKINI KUWA MAKINI UOMBE CHETI CHA KUZALIWA, WENGINE ATAKUAMBIA ANA MIAKA 24 KUMBE ANA 30!!! Na ukingatia kuwa wakati wa kuandikisha ndoa vyeti vya kuzaliwa haviulizwi.
 
<font size="3"><font color="darkgreen">Sitakuita Playboy, lakini unaonyesha kuwa una tabia za kuchezea wasichana kwa kuwadanganya na ahadi fulani!</font></font><br />
<font size="3"><font color="darkgreen">Acha utoto wewe..Kama humtaki mwambie aendelee kutafuta mahusiano mapya huko kuliko kumfanyia usharobaro na huku muda unamtupa mkono mwenzio.</font></font><br />
<font size="3"><font color="darkgreen">At 28 kwa mimi namuona ni mtoto mbichi!..Shida ni kuwa wewe ni mtoto, lakini zaidi sana uko <b>CHILDISH!</b></font></font>
<br />
<br />
Pj dogo analeta mambo ya juma na Roza.we unaulizwa utatangaza ndoa lin?unajing'ata ili iweje?
 
you are right Gaga...!besides of all,a woman gets older the way she wear her makeup..and we men's get older the way we think!

I suggest go ahead asap,by assuming she is beautiful in everything......also 2yrs older than you is not the issue ..Goodboy.?be confident
 
Umeona ee, is not an issue kabisa
 
Kwani umri wakew unakukwaza nini? hujatueleza.

Au una wasi wasi kuwa hapo baadaye, mkifikia 40's utatamani ndogo ndogo?
 
By all standard, ni bora kufuanga ndoa na mtu unayempenda, hata kama amekuzidi umri, kuliko kufunga na mtu usiyempenda, ila umri wake unakuridhisha
 
Back
Top Bottom