Huyu dada nampenda lakini haniamini

wambagusta

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,804
2,252
Huyu dada wallahi nampenda lakini aniamini !

Inshu ilikuwa hivi kwamba nilimwambia ukweli kwamba mie hapo nyuma nilikuwa mchafu nilikuwa na mademu wengi lakini kwa sasa nimeachana nao nataka nitulie na mmoja ambaye ndie wewe pia ni kampa uhuru kwamba ukiona nakudanganya niache akasema hapana mie nimekusamehe na kupenda basi nikamwambia njoo home akasema poa.

Khee! Kesho yake ambayo tumepanga tuonane nampigia simu hapokei na sms ajibu na credit jana yake nilimtumia.

Sasa mie nikahamua kumwambia usiwe unataka sitaki heshimu msimamo wako kama.
 
Kwahiyo kwa ujinga wako unafikiri hizo tabia za kijinga wanazo mademu wa uswahilini tu ??

Halafu mbona watu wa uswahilini tunadharaulika au kwa sababu hatuchanganyi lugha tunapoongea ?
jiongeze bro ! mie kwa ufupi sipendi nimdamganye mtu
 
Bora umeongea kweli usijutie Hilo kaa kimya pengine anakifikiria au anataka attention huyo
 
Back
Top Bottom