Huyu dada kaja arusini kumjaribu bwana harusi ama??wafanyakazi wa tsn tusaidiane??

This could be very beauteful couple!!I like it!!

ajaizidi
huyu
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
avatar17616_1.gif
 
wachaga wanasema apaaaaaaawoooooooooooomii samahanini kama nimekosea
 
jana nilikuwa na mdau wa TSN jamani breakpoint nkamwambia nimeona kituko kwenye jamiif
akasema bana we aha nasikia ila unajua mabinti wengi wako kibiashara zaidi so ttuwe makini ukienda harusini kama single uvae zana kabisa misukosuko kama hii aiehelewi kukuvamia gafla na ka valyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kale ukashanga njwiiiii unaitafuta Kinondoni

Umefunika maneno mengi sana hapa nilipo bold.....dadavua tafadhali:embarrassed:
 
Teh teh teh!!unajua suala la uzuri ni mtazamo tu wa mtu!wazungu wanasema "Beauty is in the eyes of beholder"
Mimi nampa alama kama ifuatavyo:


Umbo - 71%
Usafiri - -70%
Nywele - -85%
Viatu - -42%
Kivazi - 37%
Handbag - 58%

Ikiwa si za maiti!!
 
IMG_0543.JPG


MICHUZI HUYU BIBIE WAKATI SI KUMJARIBU BWANA HARUSI JAMANI NA WAPENDWA WALIO HARUSINI
ENYI WANA WAKE MKIWA MNAENDA KWENYE NDOA ZA WENZENU JUENI MWENZENU YAMEMSHINDA KAAMUA KUTULIA NA MMOJ ASASA KUMVALIA MWENZENU NGUO KAMA YA HUYU DADA KATI SI KUMJRAIBU SHETAN ALAFU MNASEMA SHETAN AMESHINDWA USHINDWE WEWE NA TAMAA ZAKO ZA DUNIA


Halafu wale waliokuwepo kwenye hiyo sherehe wanasema eti hicho kimini ilikuwa tisa, kumi ni kwamba hata kufuli alikuwa hajavaa! kaaaazi kwelikweli!
 
Dada amekomaa hivyo atamtega nani? Kama mnapenda kukisia mambo basi muwe karibu na ukweli. My guess ni kwamba huyo dada alikuwa anatafuta mtu wa ku-impress tu though imekuwa the hard way namna hiyo kwa sababu mbinu zingine atakuwa amemaliza ikiwa ni pamoja na kubadilisha wadau!!
 
halafu wale waliokuwepo kwenye hiyo sherehe wanasema eti hicho kimini ilikuwa tisa, kumi ni kwamba hata kufuli alikuwa hajavaa! Kaaaazi kwelikweli!

dah!!!! Kumbe haina haja ya kugonga mlango unapita moja kwa moja
 
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png


nimeipanda avator yako walahi ningechelewa kuoa ungekuwa chaguo la Mungu
basi bahati si ya JF kumkonyeza mwenziona kuvaa kimini ipi liko kibiashara zaidi??
ila uongo mbaya dada ukificha sura usiku kunakobakia unapeleka moto kabisa
kama si ile ngao ya usoni sijui mke wa Matumla ama cheka...

kwaiyo unasemaje?
wakat unaniangalia ntakuwwa nafumba macho basi..mi stak kukuvunjia ndoa yako...mi mwislamu km vp nifanye mke watatu basi ili nikuremburie 24 7...
 
Halafu wale waliokuwepo kwenye hiyo sherehe wanasema eti hicho kimini ilikuwa tisa, kumi ni kwamba hata kufuli alikuwa hajavaa! kaaaazi kwelikweli!


wacha kufuli akufunga unaambiwa mdgo wangu anasema akikaa kati unakuta kama mlima kilimanjaro umezungukwa na kifusi cha nyasi
 
kwaiyo unasemaje?
Wakat unaniangalia ntakuwwa nafumba macho basi..mi stak kukuvunjia ndoa yako...mi mwislamu km vp nifanye mke watatu basi ili nikuremburie 24 7...

jamani rose kwa hilo jicho naomba nislim
 
haha haha stak mieeeeeeeeeee
uyu mtoto bado na anawekundu uson km wa ant yake aliyevaa kimin mi stak...labda akue kdg ndo tutaendana..

huyo kakua wekundu wake kabalee utotoni tatizo lake
 
wacha kufuli akufunga unaambiwa mdgo wangu anasema akikaa kati unakuta kama mlima kilimanjaro umezungukwa na kifusi cha nyasi

inaonekana huyu mwanamke alikuwa talk of the night siku hiyo ya harusi watu badala ya ku-focus kwa bwana na bibi harusi watakuwa wali-focus kwa huyu mwanamama
 
Dah huyo dada wa cheni ya msalaba kweli ni mrembo! Nasikia yuko single, anayetafuta mke wa ukweli ajiwasilishe TSN!
 
Back
Top Bottom